Ni wakati wa kuiondoa VETO Umoja wa Mataifa

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
20,189
Reaction score
29,663
Kwenye charter ya umoja wa mataifa maarfu kama UN Charter Ibara ya 27 (3) imeweka wazi kwamba maamuzi ya Baraza Kuu la Usalama yatapitishwa kwa Kura ya Pamoja kutoka kwa wanachama wa kudumu wa Baraza Hilo ambao ni USA, Russia, China, UK na Ufaransa. Ukisoma kifungu hicho vizuri, linataka maamuzi yapitishwe kwa pamoja, iwapo mwanachama mmoja wa kudumu ata piga kura ya kupinga maamuzi, basi maamuzi hayo hayatapita. Inatakiwa wanachama wakudumu wote watano wapige kura ya ndio ndipo resolution ipite. Hii Hali imesababisha maamuzi mengi ya maana yasipite kisa Mwanachama mmoja kagoma.

Mwaka 1992 , Tanzania ilikuwa itoe Katibu mkuu wa kwanza wa Umoja wa Mataifa. Na jina liliopendekezwa ilikuwa ni Salim Ahmed Salim. Kisheria jina la katibu mkuu lazima lipitishwe na Baraza Kuu la Usalama kabla halijapelekwa kwenye Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Sasa jina la Salim lilipofika kwenye Baraza Kuu la Usalama la UN, Marekani akapiga Veto dhidi ya Salim, kutokana na Salim kuipigia debe China dhidi ya Taiwan. Ikabidi jina lingine liletwe la Boutrous Boutrous Ghali kutoka Egypt.

Hivyo, ili kuondoa urasimu wa nchi mmoja kuamua hatma ya nchi zingine kwa kutumia Veto, mfumo huu wa maamuzi ukomeshwe. UN Ina wanachama 193 lakini maamuzi makubwa yanafanywa na wanachama watano tu wa Baraza Kuu la Usalama. Umefika wakati Sasa Veto iondolewe na wanachama wa Baraza Kuu la Usalama wapewe haki sawa kwenye kufanya maamuzi.

Kwa Sasa Baraza Kuu la Usalama linawanachama 15, ni muhimu kumpa kila mwanachama haki sawa ya kupiga kura na kufanya maamuzi.
 
Anayeleta uwamuzi kama huu uliouleta hapa ni nani mkuu

Maana hao hao wenye nguvu bila shaka wao ndio wanapaswa kujipinga! Itawezekana kweli?

Njia ya kuondoa hilo kwa sasa, ni wao wanyukane, tena yule mwenye kuwatawala wengine ndio anyukwe
 
Kwenye charter ya umoja wa mataifa maarfu kama UN Charter Ibara ya 27 (3) imeweka wazi kwamba maamuzi ya Baraza Kuu la Usalama yatapitishwa kwa Kura ya Pamoja kutoka kwa wanachama wa kudumu wa Baraza Hilo ambao ni USA, Russia, China, UK na Ufaransa. Ukisoma kifungu hicho vizuri, linataka maamuzi yapitishwe kwa pamoja, iwapo mwanachama mmoja wa kudumu ata piga kura ya kupinga maamuzi, basi maamuzi hayo hayatapita. Inatakiwa wanachama wakudumu wote watano wapige kura ya ndio ndipo resolution ipite. Hii Hali imesababisha maamuzi mengi ya maana yasipite kisa Mwanachama mmoja kagoma.

Mwaka 1992 , Tanzania ilikuwa itoe Katibu mkuu wa kwanza wa Umoja wa Mataifa. Na jina liliopendekezwa ilikuwa ni Salim Ahmed Salim. Kisheria jina la katibu mkuu lazima lipitishwe na Baraza Kuu la Usalama kabla halijapelekwa kwenye Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Sasa jina la Salim lilipofika kwenye Baraza Kuu la Usalama la UN, Marekani akapiga Veto dhidi ya Salim, kutokana na Salim kuipigia debe China dhidi ya Taiwan. Ikabidi jina lingine liletwe la Boutrous Boutrous Ghali kutoka Egypt.

Hivyo, ili kuondoa urasimu wa nchi mmoja kuamua hatma ya nchi zingine kwa kutumia Veto, mfumo huu wa maamuzi ukomeshwe. UN Ina wanachama 193 lakini maamuzi makubwa yanafanywa na wanachama watano tu wa Baraza Kuu la Usalama. Umefika wakati Sasa Veto iondolewe na wanachama wa Baraza Kuu la Usalama wapewe haki sawa kwenye kufanya maamuzi.

Kwa Sasa Baraza Kuu la Usalama linawanachama 15, ni muhimu kumpa kila mwanachama haki sawa ya kupiga kura na kufanya maamuzi.
Jiulize kwanza huo unaoitwa umoja wa mataifa nan anaufadhili
 
Back
Top Bottom