Ni Wakati wa kumtoa sasa Tundu Lisu

Ni Wakati wa kumtoa sasa Tundu Lisu

Sio tu kuachiwa tunataka kuona waliohusika na ubaya wote wanawajibika
 
Raisi Samia anamuogopa Tundu Lissu hata baada ya uchaguzi. Anajua jinsi Tundu Lissu anavyoweza kuhamasisha watu dhidi yake kukawa na mass uprising. Kumbuka 29 Oct Lissu alikuwa mahabusu.Sasa fikiria akiwa nje!

MO29 ilikuwa na nguvu zifuatazo;

1. Kundi la Chadema Wenye Msimamo Mkali.
Hawa walikuwa wengi.

2. Kundi la Wafuasi wa Magufuli wakiongozwa mbele Yao wakiwakilishwa na Polepole na kina Gwajima. Sukuma Gang.
Hili ni kundi la pili Kwa ukubwa.

3. Wanaharakati huru na wapigania Haki ambao hawajihusishi na Vyama vyovyote.
Kundi hilo walikuwa wachache.

5. Kundi la Vibaka na wahalifu. Hawa pia walikuwa wachache.

Lisu akitoka ni ngumu kufanya maandamano ya namna Ile kwani itahitaji patterns za matukio ya kweli na kutengeneza kuamsha hasira za watu.

Pia itahitaji kundi la Magufuli ambalo hili mara kwa mara sio active Sana mitandaoni.
Ila Lipo

Kumbuka Wafuasi wa Magufuli na Wafuasi wa Lisu walifanya Kolabo MO29 na sio kwamba wao Wana maslahi yanayofanana. Hapana
 
Nguvu ya umma hukuiona October 29.

Nikukumbushe tu ile nguvu ilizimwa kwa kukosa silaha tu.

Je siku za usoni ikipata silaha hali itakua vipi?

Ile nguvu ilitokea kwa sababu palikuwa na Delay ndogo kwa upande wa Vyombo vya Dola.

Kama vyombo vya Dola vingewahi kabla ya saa tano. Kama vilivyowahi baadhi ya maeneo mfano Pale Jengo la TCRA, haya pale Ubungo solo kuu la Afrika mashariki la Wachina, haya kwenye mitambo ya Gesi, n.k ninakuhakikishia hata hivyo vituo vya Mwendokasi visingechomwa kwa wingi Ule.

Delay ya kuchukua hatua ndio ilifanya ukaona yaliyotokea.
Wala usingesikia hata mtu mmoja ameuawa kama kusingekuwa na Delay.

Alafu kingine, Waandamanaji hawakuitumia Ile Delay ya vyombo vya Dola vizuri. Kama wangeitumia vizuri hata hizo silaha wangezipata mapema Sana

Mwisho, waandamanaji hawakuwa totally aggressive na hili pia kwao ni kosa. Huwezi taka kuangusha serikali wakati unavichembe chembe vya huruma au ustaarabu.
 
Hamjambo!

Inatosha. Tundu Lisu aachiwe. Tundu Lisu ni asset katika taifa. Atumiwe uzee umegonga mlango.

Tumejifunza mengi kupitia Ligi zake na Serikali. Taifa na wananchi tumepata faida kubwa kupitia migogoro baina yake na serikali.

Tundu Lisu atakuwa kielelezo cha vijana kuhusu uzalendo na kupigania kile anachokiamini hata katika mazingira magumu.

Vijana, watumishi wa serikali, maafisa wa vyombo vya dola na wanausalama wamejifunza Kwa Tundu Lisu kupigania taifa, na kuwa na msimamo thabiti hata kwenye hali ngumu?

Wanausalama na watumishi lazima mjiulize, Je unaujasiri na uwezo wa kusimamia msimamo wako hata ukiwa katika shinikizo la kutaka kuuawa kama alivyofanyiwa Lisu? Au upo tayari kufungwa jela na kuhukumiwa kifo kwa kesi nzito kwa kile unachokiamini?

Watanzania tumepata shule.

Viongozi wakuu WA nchi na majeshi wamejifunza pia.
Kwani hata wao baadhi naamini wanakiri kuwa Tundu Lisu ni jasiri na anamsimamo ambao wenyewe hawana.

Muda wa kumuachia Tundu Lisu umefika. Somo tumelipata.

Lakini pia Tundu Lisu pia amejifunza haya ambayo nilimuandikia mwaka 2020 kwenye barua Yangu ya wazi;

1. Nuru ndogo haifukuzi Giza kubwa
Nuru ya kibatari au mshumaa haina uwezo wa kufukuza Giza la eneo kubwa.
Hii ni kumaanisha Wema Mdogo haushindi uovu thabiti.

2. Kutetea Maskini na wajinga wakati usiosahihi ni kujitoa kafara isiyo na thawabu. Kila Jambo lina timing

3. Maisha hayanaga kumbukumbu. Tenda Wema kwa Akili.

4. Hata ukiwa Malaika huwezi mshinda shetani kama shetani amekuzidi nguvu, mbinu na uwezo.

5. Sio Kila ubaya ni Ubaya. Wakati mwingine ubaya unatakiwa ufanyike ili kubust akili za watu waliolala.
Na sio Kila Wema ni Wema.
Wema na Ubaya umuhimu wake upo kwenye wakati.

6. Wakati mwingine shetani hujadili na Mungu au Mungu hujadili na shetani.
Kwenye biblia tumeona hayo mara kadhaa.
Shetani humhitaji Mungu na Mungu kuna wakati humhitaji shetani.

7. Kwenye utawala. Kuna wakati utachagua Power au Love. Na watawala wengi huamua kuchagua Power.

8. Usiwe Mwema kupita kiasi usije ukaangamia. Wala usiwe mbaya kupita kiasi usije ukafa kabla ya wakati wako.

9. Adui mwenye silaha usimjie na mdomo.

Anyway mimi naondoka.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Asante
 
Nakubaliana na wewe ila muda ni hakimu mzuri.
 
Nawashangaa sana yan bongo hii bado tu mnahangaishwa na marehemu siasa tafuta ela achana nasiasa mkuu hao wanajuana mtatukanana mtagombana afu mwisho wa siku mkono wa lisu na familia yake unaenda kinywani afu mkono wako na wa2 wako unaenda shavuni toka nilivyogundundua mo nawatu wanaoendana nae hawashoboki na siasa nikaitema kabs
 
Hamjambo!

Inatosha. Tundu Lisu aachiwe. Tundu Lisu ni asset katika taifa. Atumiwe uzee umegonga mlango.

Tumejifunza mengi kupitia Ligi zake na Serikali. Taifa na wananchi tumepata faida kubwa kupitia migogoro baina yake na serikali.

Tundu Lisu atakuwa kielelezo cha vijana kuhusu uzalendo na kupigania kile anachokiamini hata katika mazingira magumu.

Vijana, watumishi wa serikali, maafisa wa vyombo vya dola na wanausalama wamejifunza Kwa Tundu Lisu kupigania taifa, na kuwa na msimamo thabiti hata kwenye hali ngumu?

Wanausalama na watumishi lazima mjiulize, Je unaujasiri na uwezo wa kusimamia msimamo wako hata ukiwa katika shinikizo la kutaka kuuawa kama alivyofanyiwa Lisu? Au upo tayari kufungwa jela na kuhukumiwa kifo kwa kesi nzito kwa kile unachokiamini?

Watanzania tumepata shule.

Viongozi wakuu WA nchi na majeshi wamejifunza pia.
Kwani hata wao baadhi naamini wanakiri kuwa Tundu Lisu ni jasiri na anamsimamo ambao wenyewe hawana.

Muda wa kumuachia Tundu Lisu umefika. Somo tumelipata.

Lakini pia Tundu Lisu pia amejifunza haya ambayo nilimuandikia mwaka 2020 kwenye barua Yangu ya wazi;

1. Nuru ndogo haifukuzi Giza kubwa
Nuru ya kibatari au mshumaa haina uwezo wa kufukuza Giza la eneo kubwa.
Hii ni kumaanisha Wema Mdogo haushindi uovu thabiti.

2. Kutetea Maskini na wajinga wakati usiosahihi ni kujitoa kafara isiyo na thawabu. Kila Jambo lina timing

3. Maisha hayanaga kumbukumbu. Tenda Wema kwa Akili.

4. Hata ukiwa Malaika huwezi mshinda shetani kama shetani amekuzidi nguvu, mbinu na uwezo.

5. Sio Kila ubaya ni Ubaya. Wakati mwingine ubaya unatakiwa ufanyike ili kubust akili za watu waliolala.
Na sio Kila Wema ni Wema.
Wema na Ubaya umuhimu wake upo kwenye wakati.

6. Wakati mwingine shetani hujadili na Mungu au Mungu hujadili na shetani.
Kwenye biblia tumeona hayo mara kadhaa.
Shetani humhitaji Mungu na Mungu kuna wakati humhitaji shetani.

7. Kwenye utawala. Kuna wakati utachagua Power au Love. Na watawala wengi huamua kuchagua Power.

8. Usiwe Mwema kupita kiasi usije ukaangamia. Wala usiwe mbaya kupita kiasi usije ukafa kabla ya wakati wako.

9. Adui mwenye silaha usimjie na mdomo.

Anyway mimi naondoka.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Kwakuwa kenge sii msikivu acha hata pale atakapo shuhudia ubongo wake wote upo nje ya fuvu la kichwa chake japo atajaribu kukumbuka machache kati ya mengi aliyo ya puuza!
 
Aliyetoa wazo la kumkamata na kumfungulia kesi Tundu Lissu ni Mpuuzi na Mbulura wa kiwango cha Lami.

Unachukulia serious maneno ya majukwaani ya wanasiasa?
 
Raisi Samia anamuogopa Tundu Lissu hata baada ya uchaguzi. Anajua jinsi Tundu Lissu anavyoweza kuhamasisha watu dhidi yake kukawa na mass uprising. Kumbuka 29 Oct Lissu alikuwa mahabusu.Sasa fikiria akiwa nje!
Sio Samia pekee kiufupi ni ccm yote inamwogopa Lissu maana yeye hutumia hoja na sheria sasa ccm hiyo ligi hawawezi wanachokitaka nikukamata na kushitaki. toka kipindi cha mkapa hadi Samia ni lini walimshinda kwa hoja?
 
Hakutakiwa ila ndio yupo ndani na watu tumeshindwa kuonyesha nguvu ya umma.
uelewa na wamezoea kuunganishwa na chama sasa kilipigwa mlimbo Leo mlimbo umekauka kimejinasua ngoja tusubili pia asasi za kirai zimechangia tundulisu kukaa lupango muda mrefu walitakiwa wachukue jukumu Kwa niaba ya chama
 
Back
Top Bottom