Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #21
Hivi soon ataachiwa tena hilbmshartibyoyote si umeona leo mahakama humo dodoma imeruhusu chama chao kiendelee na shughuli za kisiasa kama zamani
Tundu Lisu asitoke
Sasa atakuwaje Mandela wa bongo baada ya mwaka mmoja tu wakati mwenzake alitimiza miaka ishirini na saba?
Nguvu ya umma hukuiona October 29.Hakutakiwa ila ndio yupo ndani na watu tumeshindwa kuonyesha nguvu ya umma.
Raisi Samia anamuogopa Tundu Lissu hata baada ya uchaguzi. Anajua jinsi Tundu Lissu anavyoweza kuhamasisha watu dhidi yake kukawa na mass uprising. Kumbuka 29 Oct Lissu alikuwa mahabusu.Sasa fikiria akiwa nje!
Nguvu ya umma hukuiona October 29.
Nikukumbushe tu ile nguvu ilizimwa kwa kukosa silaha tu.
Je siku za usoni ikipata silaha hali itakua vipi?
Hili ni taifa la entertainment mambo ya harakatibado sana
AsanteHamjambo!
Inatosha. Tundu Lisu aachiwe. Tundu Lisu ni asset katika taifa. Atumiwe uzee umegonga mlango.
Tumejifunza mengi kupitia Ligi zake na Serikali. Taifa na wananchi tumepata faida kubwa kupitia migogoro baina yake na serikali.
Tundu Lisu atakuwa kielelezo cha vijana kuhusu uzalendo na kupigania kile anachokiamini hata katika mazingira magumu.
Vijana, watumishi wa serikali, maafisa wa vyombo vya dola na wanausalama wamejifunza Kwa Tundu Lisu kupigania taifa, na kuwa na msimamo thabiti hata kwenye hali ngumu?
Wanausalama na watumishi lazima mjiulize, Je unaujasiri na uwezo wa kusimamia msimamo wako hata ukiwa katika shinikizo la kutaka kuuawa kama alivyofanyiwa Lisu? Au upo tayari kufungwa jela na kuhukumiwa kifo kwa kesi nzito kwa kile unachokiamini?
Watanzania tumepata shule.
Viongozi wakuu WA nchi na majeshi wamejifunza pia.
Kwani hata wao baadhi naamini wanakiri kuwa Tundu Lisu ni jasiri na anamsimamo ambao wenyewe hawana.
Muda wa kumuachia Tundu Lisu umefika. Somo tumelipata.
Lakini pia Tundu Lisu pia amejifunza haya ambayo nilimuandikia mwaka 2020 kwenye barua Yangu ya wazi;
1. Nuru ndogo haifukuzi Giza kubwa
Nuru ya kibatari au mshumaa haina uwezo wa kufukuza Giza la eneo kubwa.
Hii ni kumaanisha Wema Mdogo haushindi uovu thabiti.
2. Kutetea Maskini na wajinga wakati usiosahihi ni kujitoa kafara isiyo na thawabu. Kila Jambo lina timing
3. Maisha hayanaga kumbukumbu. Tenda Wema kwa Akili.
4. Hata ukiwa Malaika huwezi mshinda shetani kama shetani amekuzidi nguvu, mbinu na uwezo.
5. Sio Kila ubaya ni Ubaya. Wakati mwingine ubaya unatakiwa ufanyike ili kubust akili za watu waliolala.
Na sio Kila Wema ni Wema.
Wema na Ubaya umuhimu wake upo kwenye wakati.
6. Wakati mwingine shetani hujadili na Mungu au Mungu hujadili na shetani.
Kwenye biblia tumeona hayo mara kadhaa.
Shetani humhitaji Mungu na Mungu kuna wakati humhitaji shetani.
7. Kwenye utawala. Kuna wakati utachagua Power au Love. Na watawala wengi huamua kuchagua Power.
8. Usiwe Mwema kupita kiasi usije ukaangamia. Wala usiwe mbaya kupita kiasi usije ukafa kabla ya wakati wako.
9. Adui mwenye silaha usimjie na mdomo.
Anyway mimi naondoka.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Nakubaliana na wewe ila muda ni hakimu mzuri.Ile nguvu ilitokea kwa sababu palikuwa na Delay ndogo kwa upande wa Vyombo vya Dola.
Kama vyombo vya Dola vingewahi kabla ya saa tano. Kama vilivyowahi baadhi ya maeneo mfano Pale Jengo la TCRA, haya pale Ubungo solo kuu la Afrika mashariki la Wachina, haya kwenye mitambo ya Gesi, n.k ninakuhakikishia hata hivyo vituo vya Mwendokasi visingechomwa kwa wingi Ule.
Delay ya kuchukua hatua ndio ilifanya ukaona yaliyotokea.
Wala usingesikia hata mtu mmoja ameuawa kama kusingekuwa na Delay.
Alafu kingine, Waandamanaji hawakuitumia Ile Delay ya vyombo vya Dola vizuri. Kama wangeitumia vizuri hata hizo silaha wangezipata mapema Sana
Mwisho, waandamanaji hawakuwa totally aggressive na hili pia kwao ni kosa. Huwezi taka kuangusha serikali wakati unavichembe chembe vya huruma au ustaarabu.
Nakubaliana na wewe ila muda ni hakimu mzuri.
Kwakuwa kenge sii msikivu acha hata pale atakapo shuhudia ubongo wake wote upo nje ya fuvu la kichwa chake japo atajaribu kukumbuka machache kati ya mengi aliyo ya puuza!Hamjambo!
Inatosha. Tundu Lisu aachiwe. Tundu Lisu ni asset katika taifa. Atumiwe uzee umegonga mlango.
Tumejifunza mengi kupitia Ligi zake na Serikali. Taifa na wananchi tumepata faida kubwa kupitia migogoro baina yake na serikali.
Tundu Lisu atakuwa kielelezo cha vijana kuhusu uzalendo na kupigania kile anachokiamini hata katika mazingira magumu.
Vijana, watumishi wa serikali, maafisa wa vyombo vya dola na wanausalama wamejifunza Kwa Tundu Lisu kupigania taifa, na kuwa na msimamo thabiti hata kwenye hali ngumu?
Wanausalama na watumishi lazima mjiulize, Je unaujasiri na uwezo wa kusimamia msimamo wako hata ukiwa katika shinikizo la kutaka kuuawa kama alivyofanyiwa Lisu? Au upo tayari kufungwa jela na kuhukumiwa kifo kwa kesi nzito kwa kile unachokiamini?
Watanzania tumepata shule.
Viongozi wakuu WA nchi na majeshi wamejifunza pia.
Kwani hata wao baadhi naamini wanakiri kuwa Tundu Lisu ni jasiri na anamsimamo ambao wenyewe hawana.
Muda wa kumuachia Tundu Lisu umefika. Somo tumelipata.
Lakini pia Tundu Lisu pia amejifunza haya ambayo nilimuandikia mwaka 2020 kwenye barua Yangu ya wazi;
1. Nuru ndogo haifukuzi Giza kubwa
Nuru ya kibatari au mshumaa haina uwezo wa kufukuza Giza la eneo kubwa.
Hii ni kumaanisha Wema Mdogo haushindi uovu thabiti.
2. Kutetea Maskini na wajinga wakati usiosahihi ni kujitoa kafara isiyo na thawabu. Kila Jambo lina timing
3. Maisha hayanaga kumbukumbu. Tenda Wema kwa Akili.
4. Hata ukiwa Malaika huwezi mshinda shetani kama shetani amekuzidi nguvu, mbinu na uwezo.
5. Sio Kila ubaya ni Ubaya. Wakati mwingine ubaya unatakiwa ufanyike ili kubust akili za watu waliolala.
Na sio Kila Wema ni Wema.
Wema na Ubaya umuhimu wake upo kwenye wakati.
6. Wakati mwingine shetani hujadili na Mungu au Mungu hujadili na shetani.
Kwenye biblia tumeona hayo mara kadhaa.
Shetani humhitaji Mungu na Mungu kuna wakati humhitaji shetani.
7. Kwenye utawala. Kuna wakati utachagua Power au Love. Na watawala wengi huamua kuchagua Power.
8. Usiwe Mwema kupita kiasi usije ukaangamia. Wala usiwe mbaya kupita kiasi usije ukafa kabla ya wakati wako.
9. Adui mwenye silaha usimjie na mdomo.
Anyway mimi naondoka.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
kweli mkuu hyo nguvu tunayoipoteza kweny siasa bora tukalimeHili ni taifa la entertainment mambo ya harakatibado sana
kweli mkuu hyo nguvu tunayoipoteza kweny siasa bora tukalimeHili ni taifa la entertainment mambo ya harakatibado sana
Sio Samia pekee kiufupi ni ccm yote inamwogopa Lissu maana yeye hutumia hoja na sheria sasa ccm hiyo ligi hawawezi wanachokitaka nikukamata na kushitaki. toka kipindi cha mkapa hadi Samia ni lini walimshinda kwa hoja?Raisi Samia anamuogopa Tundu Lissu hata baada ya uchaguzi. Anajua jinsi Tundu Lissu anavyoweza kuhamasisha watu dhidi yake kukawa na mass uprising. Kumbuka 29 Oct Lissu alikuwa mahabusu.Sasa fikiria akiwa nje!
Mbaya zaidi kawekwa ndani na mtu ambaye hajui hata hesabu za std 2...imagine!.Siyo imetosha….. Lissu hakustahili kufungwa!
uelewa na wamezoea kuunganishwa na chama sasa kilipigwa mlimbo Leo mlimbo umekauka kimejinasua ngoja tusubili pia asasi za kirai zimechangia tundulisu kukaa lupango muda mrefu walitakiwa wachukue jukumu Kwa niaba ya chamaHakutakiwa ila ndio yupo ndani na watu tumeshindwa kuonyesha nguvu ya umma.