Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Bunge ni sauti ya wananchi, kama sauti ya wananchi kupitia spika wao inahoji juu ya mkopo ambao unakopwa kwa manufaa ya wachache wala sio wananchi alafu inabagazwa namna hii basi katiba yetu ina matatizo makubwa.
Tunahitaji katiba ambayo itaondoa madaraka makubwa ya rais kama mkuu wa Executive. Maana mihimili mingine ni kama ipoipo tu.
Tunahitaji katiba ambayo itamshughulikia mkuu wa executive branch ambae atawabagaza Watanzania kisa tu wamehoji mikopo ambayo ina ukakakasi huku wanatozwa tozo.