Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kama huwezi kufikiria jambo la maana unadhanai unaweza kujiandikia lolote basi ficha ujinga wako usije ukadharauliwa na jamii.Je Mabeho. Ambaye alikuwa Mkuu wa Majeshi hadhani huu ni wakati wake wa kutuomba msamaha?
Je bado anaamini yupo sahihi? Ni kwa nini sisi Tanzania ni Nadra sana kupata wakuu wa Jeshi Wazalendo? Je haoni huu ni wakati wake wa kutubu na kutuomba msamaha?
Siyo mabeyo ni Mabeyosio mabeho ni mabeyo
Anawaza kubeua.sio mabeho ni mabeyo
Punctuation. Kanuni za uandishi zifuatwe.Haujaweka kituo kikubwa.🙏Siyo mabeyo ni Mabeyo
ndioAnawaza kubeua.
Hivi,ikitokea anatuomba msamaha asemeje?sawa
Utamdharauje mtu ambaye humjui mwenye ID fake mkuuKama huwezi kufikiria jambo la maana unadhanai unaweza kujiandikia lolote basi ficha ujinga wako usije ukadharauliwa na jamii.
Safari Moja huanzisha nyingine. Kosa Moja huzaa mengine mengi. Ukiwa potential kwa umma na ukashindwa kuwa mwerevu, wapumbavu watakutumia mara kwa mara kuhalalisha Upumbavu wao kwa jina lako.Nimemsikia anasema wamasai waondoke ngorongoro,
Hawa wakuu wa majeshi wastasfu wanateuliwa
kwenye board za mbuga za wanyama
Ili nao wale matunda ya mwarabu
Hi nchi hovyo sana, eti mkuu wa majeshi mstaafu anateuliwa mwenyekiti wa board ya mbuga, hii si ni rushwa??
Bila katiba kuondoa huu upuuzi tumekwisha