Ni wakati wa Masanja Kadogosa kukaa pembeni

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
7,021
Reaction score
11,475
Kuishia kuvunja bodi ya TRC na kumuacha Mkurugenzi Mkuu TRC, Masanja Kungu Kadogosa ni UOGA au HAGUSIKI? Kuna hasara ya Sh 31bn TRC

Kama John Gervas Nzulule aliyekuwa Mtendaji Mkuu Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) ametenguliwa kwa hasara ya Sh 35bn basi ni wakati wa Masanja Kadogosa kutenguliwa pia
20230409_200005.jpg
 
View attachment 2582504
Hasara ni neno la Kihasibu na ni wazi wewe siyo Mhasibu, pata ishauri kwanza. Huyu Mr Kadogosa haimbwi sana lakini kwa sasa atakuwa mmojawapo katika Watanzania wa kujivunia.
 
Kwa hiyo kwa vile vichwa na mabehewa ya miaka ya 1990s navyo ni suala la kihasibu?
 
Au abadilishiwe majukumu apelekwe upande wa kuendesha treni yaani derrva
 
Kuishia kuvunja bodi ya TRC na kumuacha Mkurugenzi Mkuu TRC, Masanja Kungu Kadogosa ni UOGA au HAGUSIKI? Kuna hasara ya Sh 31bn TRC

Kama John Gervas Nzulule aliyekuwa Mtendaji Mkuu Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) ametenguliwa kwa hasara ya Sh 35bn basi ni wakati wa Masanja Kadogosa kutenguliwa pia
View attachment 2582504
Mkuu vuta subira tu, kila jambo lina wakati wake, na majira ya kila kitu huja kwa wakati wake. Ni sawa tu na kupanda ngazi, hakuna kanuni zaidi ya kupanda ya chini kwanza ili uweze kuifikia inayofuata na ya juu yake zaidi.
 
Kuna mambo ya serikali hua yanasikitisha sana...
 
Kasimu Majaliwa ajiuzulu kama ana mshipa wa aibu, uwajibikaji sio kupaka super black tu na kuficha mvi za uzembe.
 
Hasara ni neno la Kihasibu na ni wazi wewe siyo Mhasibu, pata ishauri kwanza. Huyu Mr Kadogosa haimbwi sana lakini kwa sasa atakuwa mmojawapo katika Watanzania wa kujivunia.
SGR ya Dar hadi Dodoma inaanza kazi lini??
 
Back
Top Bottom