Hasara ni neno la Kihasibu na ni wazi wewe siyo Mhasibu, pata ishauri kwanza. Huyu Mr Kadogosa haimbwi sana lakini kwa sasa atakuwa mmojawapo katika Watanzania wa kujivunia.Kuishia kuvunja bodi ya TRC na kumuacha Mkurugenzi Mkuu TRC, Masanja Kungu Kadogosa ni UOGA au HAGUSIKI? Kuna hasara ya Sh 31bn TRC
Kama John Gervas Nzulule aliyekuwa Mtendaji Mkuu Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) ametenguliwa kwa hasara ya Sh 35bn basi ni wakati wa Masanja Kadogosa kutenguliwa pia
View attachment 2582504
Kwa hiyo kwa vile vichwa na mabehewa ya miaka ya 1990s navyo ni suala la kihasibu?Hasara ni neno la Kihasibu na ni wazi wewe siyo Mhasibu, pata ishauri kwanza. Huyu Mr Kadogosa haimbwi sana lakini kwa sasa atakuwa mmojawapo katika Watanzania wa kujivunia.
Mkuu vuta subira tu, kila jambo lina wakati wake, na majira ya kila kitu huja kwa wakati wake. Ni sawa tu na kupanda ngazi, hakuna kanuni zaidi ya kupanda ya chini kwanza ili uweze kuifikia inayofuata na ya juu yake zaidi.Kuishia kuvunja bodi ya TRC na kumuacha Mkurugenzi Mkuu TRC, Masanja Kungu Kadogosa ni UOGA au HAGUSIKI? Kuna hasara ya Sh 31bn TRC
Kama John Gervas Nzulule aliyekuwa Mtendaji Mkuu Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) ametenguliwa kwa hasara ya Sh 35bn basi ni wakati wa Masanja Kadogosa kutenguliwa pia
View attachment 2582504
CEO wa taasisi ndiyo anakuwa Katibu wa Bodi, tunagemea naye akae pembeni.Kama Bodi imevunjwa ina maana na Katibu wa Bodi naye ameondolewa
Kwakuwa mkristo na msukuma mwenzenu?Hasara ni neno la Kihasibu na ni wazi wewe siyo Mhasibu, pata ishauri kwanza. Huyu Mr Kadogosa haimbwi sana lakini kwa sasa atakuwa mmojawapo katika Watanzania wa kujivunia.
Kadogosa ni mgogoKwakuwa mkristo na msukuma mwenzenu?
SGR ya Dar hadi Dodoma inaanza kazi lini??Hasara ni neno la Kihasibu na ni wazi wewe siyo Mhasibu, pata ishauri kwanza. Huyu Mr Kadogosa haimbwi sana lakini kwa sasa atakuwa mmojawapo katika Watanzania wa kujivunia.