Ni Wakati wa Mkude kujitafakari

Ni Wakati wa Mkude kujitafakari

Nikama kotei watu wengi walikuwa hawaoni faida yake .. nikama huyu mbrazil tu .. mkude atulie kwanzaa
Jonas Mkude ni kipenzi cha wanaSimba na mtoto wa nyumbani Msimbazi kama walivyo Ajib, Ndemla na Miraji. Mkude amekuwa mtovu wa nidhamu mara kwa mara na wakati huu amekuwa nje ya timu kwa mechi ya tatu sasa kimashindano.

Ni wakati wa kujitafakari sasa Simba. Hii si Simba ile ambayo ilikuwa haiwezi kwenda bila yeye, viwango wanavyovionesha Gerson Fraga Viera na Muzamir Yassin inaweza kuwa ndiyo tiketi yake ya kukalia benchi.

Pia, kijana Ajib, wakati huu Chama amefloo ndiyo wakati wako wa kuchukua namba. Ongeza juhudi kijana.
 
Chuma hicho
images.jpeg
 
Mpaka unajiuliza huyu katoka brazil au makete
Makete kuna wachezaji wazuri acha hizo mkuu! Au umesahau kuwa aliyewahi kuwa golikipa Bora nchini ambaye alidaka mechi zote za msimu wa ligi naye si mwingine Bali ni Joseph Fungo anatoka Makete.
 
Makete kuna wachezaji wazuri acha hizo mkuu! Au umesahau kuwa aliyewahi kuwa golikipa Bora nchini ambaye alidaka mechi zote za msimu wa ligi naye si mwingine Bali ni Joseph Fungo anatoka Makete.
Najua mkuu yaani nimemaanisha kuwa huyu mbrazil anacheza kazi kazi kama wale wachezaji wazuri wa makete mkuu
 
Samahani wakuu ivi ADAM SALAMBA yupo wapi kwasasa.?
 
Back
Top Bottom