mzeemkavu
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 315
- 335
Nikama kotei watu wengi walikuwa hawaoni faida yake .. nikama huyu mbrazil tu .. mkude atulie kwanzaa
Jonas Mkude ni kipenzi cha wanaSimba na mtoto wa nyumbani Msimbazi kama walivyo Ajib, Ndemla na Miraji. Mkude amekuwa mtovu wa nidhamu mara kwa mara na wakati huu amekuwa nje ya timu kwa mechi ya tatu sasa kimashindano.
Ni wakati wa kujitafakari sasa Simba. Hii si Simba ile ambayo ilikuwa haiwezi kwenda bila yeye, viwango wanavyovionesha Gerson Fraga Viera na Muzamir Yassin inaweza kuwa ndiyo tiketi yake ya kukalia benchi.
Pia, kijana Ajib, wakati huu Chama amefloo ndiyo wakati wako wa kuchukua namba. Ongeza juhudi kijana.