HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Habari,
Ukweli ubaki kuwa ukweli tu kwani Mwafrika kujiita majina ya kuja kwasababu eti ni wafuasi wa dini za kuja na kuacha majina na dini zao huo ni UJINGA uliopitiliza.
Hivi kweli hata wasomi hasa maprofesa nao hawaoni kuwa wamepotezwa na imani za kuja?
Ujinga ukizidi ni dhambi,tafuteni ukweli jeyesu na mohamed ni bora kuliko MABABU na MABIBI zenu mliofanana nao kwa kila kitu hasa DNA?