HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Je anayeitwa livingstone siyo uchoko?umelaaniwa na ni mmoja wa machoko wa wazungu na warabuShida huzijui dini za kiafrika zilivyo na uchoko mwingi.
Eti mtu anamuita mwanae jina 'Shida'
Ujinga wako ni kutokujua kuwa hiyo biblia unayoisemea ni mila na desturi za waethiopia siyo za waafrika wote,kila mwafrika ana dini yake kulingana na tamaduni zake na mila zake hata wewe siyo muethiopia hupaswi kuwafuata wao una asili yako ambayo inategemea zaidi KABILA lako naweza kusema dini yako ni KABILA yako1) Katika karne ya nne (330AD) , Ukristo ulitangazwa kuwa dini ya Taifa la Ethiopia chini ya Mfalme Ezana. (Christian Aksumite kingdom of Ethiopia)
2) The Garima Gospels - Nakala za kale zaidi tulizonazo za Injili zote kwa pamoja yaani Mathayo, Marko, Luka na Yohana kwa pamoja.
Zimeandikwa kwa lugha ya Ge'ez, kiluga cha ke Ethiopia.
Carbon dating inasema ni cha miaka ya 350AD - 600AD.
View attachment 3611383
3) The Ethiopian Bible (300AD)
Biblia ya zamani kuliko zote tulizonazo ikiwa kamili, sio visehemu vya karatasi.
Kina vitabu vingi zaidi (81) ya Biblia za kiprotestanti (66) na Katoliki (73), mfano Kitabu cha Enoko, Kitabu cha Yubile etc.
Imeandikwa kwa ki Ge'ez. Kiluga cha Ethiopia.
Tafsri ya kwanza ya Kiingereza ya biblia ilitokea miaka ya 1300AD.
View attachment 3611384
4) Mababu zetu ndo hao walikuwa walikuwa wanasema YESU NI BWANA miaka ya 300AD na wametuachia maandishi ili tusijiulizeulize, majibu wameshatupa.
We mababu zako wako wapi, wamekuachia nini zaidi ya DNA? ? ? Na hiyo DNA waliokuachia sisi inatusaidia nini? ? ?
Asili ya Biblia ya Ethiopia ina mizizi ya kina katika Ufalme wa kale wa Aksum (Axum) na uamuzi wa Mfalme ‛Ēzānā wa kuifanya milki yake kuwa ya Kikristo katika karne ya nne (mwaka 330 BK hivi)1) Katika karne ya nne (330AD) , Ukristo ulitangazwa kuwa dini ya Taifa la Ethiopia chini ya Mfalme Ezana. (Christian Aksumite kingdom of Ethiopia)