Uchaguzi 2020 Ni wakati wa wafanyabiashara na Wadau wa Sekta Binafsi kumwadhibu Rais Magufuli

Meko na chama chake cha mbogamboga wana wakati mgumu sana.

Hakuna kundi la kijamii lenye ridhaa naye, si watumishi wa umma, si wakulima, si, wafanyabiashara, wala si wafugaji. Makundi yote haya yameumizwa na huyu nduli.
 
Mpiga kura nawasoma kisha nasema hiiiii.

Sema nyie watu mnabadili saana ID....nawaambieni nawapa miaka 10 tu...mtamlilia Magufuli kama wengi wenu mnavyomlilia JK.

Mliyemtukana na kumwambia ni goigoi...kageuza nchi shamba la bibi. Ni suala la muda tu.
Hakuna anayebadili I'd Magufuli hapendwi ata yeye anajua ndo maana ana hofu hatr
 
Mode ikiwapendeza tena naomba msiuunganishe uzi huu

Huu ni wito kwa wafanyabiashara na wadau wote wa sekta binafsi. Tafadhali sana ili maisha yenu yarejee kwenye kukuza na kuimarisha biashara zenu muondoeni huyu mtu kwenye sanduku la kura. Mpigeni za uso ili mumkumbushe kwamba serikali iliyostaraabika duniani kote haimiliki njia za uchumi na pia haifanyi biashara bali inaweka mazingira mazuri ya kufanya biashara.

Kwa miaka yote mitano Rais Magufuli amewaona wafanyabiashara na sekta binafsi kama wezi na adui wa Taifa. KITU AMBACHO SIYO KWELI HATA KIDOGO.

Rais Magufuli haamini kwamba sekta binafsi na biashara ni msingi wa uchumi imara.

Mfano mmoja pekee ni namna alivyoua mashirika binafsi ya ndege mfano wa fastJet ingelikuwa ni Rais mwenye maono asingeliweza kununua midege ya serikali kwa fedha cash za watanzania bali angetafuta wawekezaji wa uhakika tu wakawekeza kwenye shirika la ATCL ambalo bado lingefanya kazi ileile ya kuitangaza nchi, kuleta watalii n.k.

Fedha alizopeleka kwa anaowaita mabeberu ingeliboresha elimu ambayo tayali haina ubora wowote kwenye soko la ajira hata la Afrika Mashariki achana na soko la ajira la dunia.

NI HAYO TU KWA LEO, NAWATAKIA SIKU NJEMA.
usitaje Fastjet ndugu yangu unatuumiza mioyo.

enzi hizo nauli elfu 90 au laki kwenda Mbeya, nk ilikuwa ni kitu cha kawaida.
siku hizi ukipata chini ya laki 2 kwenda hata hapo Dodoma tu litakuwa ajabu la 8!
 
baada ya kuwasomesha namba watz zamu yake kuisoma october,hakuna kundi lolote kwenye jamii litakalo chagua kuumizwa tena.
 
usitaje Fastjet ndugu yangu unatuumiza mioyo.

enzi hizo nauli elfu 90 au laki kwenda Mbeya, nk ilikuwa ni kitu cha kawaida.
siku hizi ukipata chini ya laki 2 kwenda hata hapo Dodoma tu litakuwa ajabu la 8!
true kama ukupanda fastjet utopanda tena ndege,dodoma tu bila laki 8 ujapanda
 
Acha ndugu kuna Rhino cement, Quality Group, Bank M, Shivacom, Smile communications, Schlumberger( Hawa ni kampuni ya kuchimba mafuta Mtwara na LINDI), Shoprite Supermakert, Nakumatt, Choppies Supermarket, Tumaini Hospital, Impala hotels bado wa Maduka ya kariakoo pale.

Huyu mzee Kaharibu hii nchi nawaambia
Watu wangapi wamepoteza ajira hapo
 
Kwa iyo hao wote hawakuwa na pesa. Samahani nakutukana ndugu. Akili yako haina akili! Watu wameumia kwa kukosa ajira na familia zao zinateseka alafu mnaleta maneno ya kebehi hapa???? Kweli CCM sio watu kabisa
hela za kulipa fidia kubomoa nyumba za watu hana,za kulipa wakulim,watumishi hana za kurundika majengo yasiyo na tija kiuchumi lengo tu,za kununa wapinzani na kuwashugulika zipo tele.
 
Unajua mbele mpaka kitu kitaifishwe wanapitia hatua gani?

Messi alishawai kuwa na kesi ya kodi ulishawai sikia account yake imekuwa freezed??? Au amezuia kucheza mpira hadi kesi yake ya kodi ilipoisha?
Kila nchi inaratibu zake, na yeye kwanini hakulipa kodi?
 
Huu ni wito kwa Wafanyabiashara na Wadau wote wa Sekta Binafsi. Tafadhali sana ili maisha yenu yarejee kwenye kukuza na kuimarisha biashara zenu muondoeni huyu mtu kwenye sanduku la kura.

Mpigeni za uso ili mumkumbushe kwamba serikali iliyostaraabika duniani kote haimiliki njia za uchumi na pia haifanyi biashara bali inaweka mazingira mazuri ya kufanya biashara.

Kwa miaka yote mitano Rais Magufuli amewaona wafanyabiashara na sekta binafsi kama wezi na adui wa Taifa. KITU AMBACHO SIYO KWELI HATA KIDOGO.

Rais Magufuli haamini kwamba Sekta Binafsi na biashara ni msingi wa uchumi imara.

Mfano mmoja pekee ni namna alivyoua mashirika binafsi ya ndege mfano wa fastJet, ingelikuwa ni Rais mwenye maono asingeliweza kununua midege ya serikali kwa fedha cash za Watanzania bali angetafuta wawekezaji wa uhakika tu wakawekeza kwenye shirika la ATCL ambalo bado lingefanya kazi ileile ya kuitangaza nchi, kuleta watalii n.k.

Fedha alizopeleka kwa anaowaita mabeberu ingeliboresha elimu ambayo tayari haina ubora wowote kwenye soko la ajira hata la Afrika Mashariki achana na soko la ajira la dunia.

NI HAYO TU KWA LEO, NAWATAKIA SIKU NJEMA.
Ongeza sauti kidogo
 
Pun
CreativityCode,

Acha ndugu kuna Rhino cement, Quality Group, Bank M, Shivacom, Smile communications, Schlumberger( Hawa ni kampuni ya kuchimba mafuta Mtwara na LINDI), Shoprite Supermakert, Nakumatt, Choppies Supermarket, Tumaini Hospital, Impala hotels bado wa Maduka ya kariakoo pale.

Huyu mzee Kaharibu hii nchi nawaambia
Punguza sauti kidogo
 
Huu ni wito kwa Wafanyabiashara na Wadau wote wa Sekta Binafsi. Tafadhali sana ili maisha yenu yarejee kwenye kukuza na kuimarisha biashara zenu muondoeni huyu mtu kwenye sanduku la kura.

Mpigeni za uso ili mumkumbushe kwamba serikali iliyostaraabika duniani kote haimiliki njia za uchumi na pia haifanyi biashara bali inaweka mazingira mazuri ya kufanya biashara.

Kwa miaka yote mitano Rais Magufuli amewaona wafanyabiashara na sekta binafsi kama wezi na adui wa Taifa. KITU AMBACHO SIYO KWELI HATA KIDOGO.

Rais Magufuli haamini kwamba Sekta Binafsi na biashara ni msingi wa uchumi imara.

Mfano mmoja pekee ni namna alivyoua mashirika binafsi ya ndege mfano wa fastJet, ingelikuwa ni Rais mwenye maono asingeliweza kununua midege ya serikali kwa fedha cash za Watanzania bali angetafuta wawekezaji wa uhakika tu wakawekeza kwenye shirika la ATCL ambalo bado lingefanya kazi ileile ya kuitangaza nchi, kuleta watalii n.k.

Fedha alizopeleka kwa anaowaita mabeberu ingeliboresha elimu ambayo tayari haina ubora wowote kwenye soko la ajira hata la Afrika Mashariki achana na soko la ajira la dunia.

NI HAYO TU KWA LEO, NAWATAKIA SIKU NJEMA.
Tumekusikia Mkuu. Wafanyabiashara kwa sasa hwasubiri kuambiwa . Tayari wanajua cha kufanta ndio maana CCM mwaka huu hawajapata hata mia ya wafanya biashara ya Kampeni. Labda ile ya Mohamed Golo Sanji
 
Ongeza sauti kidogo
tuongeze au inatosha??
500_F_217388111_tuWiBbmRz4TfOjhNAix3mAIQ6gpHR4cA.jpg
 
Back
Top Bottom