Uchaguzi 2020 Ni wakati wa wafanyabiashara na Wadau wa Sekta Binafsi kumwadhibu Rais Magufuli

Meko na chama chake cha mbogamboga wana wakati mgumu sana.

Hakuna kundi la kijamii lenye ridhaa naye, si watumishi wa umma, si wakulima, si, wafanyabiashara, wala si wafugaji. Makundi yote haya yameumizwa na huyu nduli.
 
Hakuna anayebadili I'd Magufuli hapendwi ata yeye anajua ndo maana ana hofu hatr
 
usitaje Fastjet ndugu yangu unatuumiza mioyo.

enzi hizo nauli elfu 90 au laki kwenda Mbeya, nk ilikuwa ni kitu cha kawaida.
siku hizi ukipata chini ya laki 2 kwenda hata hapo Dodoma tu litakuwa ajabu la 8!
 
baada ya kuwasomesha namba watz zamu yake kuisoma october,hakuna kundi lolote kwenye jamii litakalo chagua kuumizwa tena.
 
usitaje Fastjet ndugu yangu unatuumiza mioyo.

enzi hizo nauli elfu 90 au laki kwenda Mbeya, nk ilikuwa ni kitu cha kawaida.
siku hizi ukipata chini ya laki 2 kwenda hata hapo Dodoma tu litakuwa ajabu la 8!
true kama ukupanda fastjet utopanda tena ndege,dodoma tu bila laki 8 ujapanda
 
Watu wangapi wamepoteza ajira hapo
 
Kwa iyo hao wote hawakuwa na pesa. Samahani nakutukana ndugu. Akili yako haina akili! Watu wameumia kwa kukosa ajira na familia zao zinateseka alafu mnaleta maneno ya kebehi hapa???? Kweli CCM sio watu kabisa
hela za kulipa fidia kubomoa nyumba za watu hana,za kulipa wakulim,watumishi hana za kurundika majengo yasiyo na tija kiuchumi lengo tu,za kununa wapinzani na kuwashugulika zipo tele.
 
Unajua mbele mpaka kitu kitaifishwe wanapitia hatua gani?

Messi alishawai kuwa na kesi ya kodi ulishawai sikia account yake imekuwa freezed??? Au amezuia kucheza mpira hadi kesi yake ya kodi ilipoisha?
Kila nchi inaratibu zake, na yeye kwanini hakulipa kodi?
 
Ongeza sauti kidogo
 
Pun Punguza sauti kidogo
 
Tumekusikia Mkuu. Wafanyabiashara kwa sasa hwasubiri kuambiwa . Tayari wanajua cha kufanta ndio maana CCM mwaka huu hawajapata hata mia ya wafanya biashara ya Kampeni. Labda ile ya Mohamed Golo Sanji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…