Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Kumekuwepo na kelele nyingi kuhusu dissapora wa Kinyarwanda waliopo ugenini, kwamba kila Mnyarwanda ambae yupo ugenini au kwenye kambi za wakimbizi ni intarehamwe.
Hizi ni jitihada za makusudi za kuzuia vizazi vya Wanyarwanda waliozaliwa ugenini wasidai haki yao ya kurudi nyumbani.
Nakumbuka mwaka 1986 kwenye mkutano mkuu wa chama tawala MRND chini ya Kanali Habriymana pale Kigali alisema Wanyarwanda waliopo ugenini kama dissapora au wakimbizi hawana haki ya kurudi nyumbani kama wanaweza watumie nguvu, ila kilichotokea miaka saba mbele kila mtu anajua.
Sasa hiki kitu kinajirudia tena chini ya kiongozi wa sasa wa Rwanda General Kagame, yeye anasema kila mtu anaempinga ni Intarehamwe na hana haki ya kurudi Rwanda sababu amejigeuza kua Rais wa maisha na hana tofauti na Kanali Habriymana enzi za utawala wake.
Sasa imefikia wakati Wanyarwanda kuamua wanarudi kwa njia ipi, sababu serikali ya Rwanda haitaki majadiliano ya kujadili suala la wakimbizi na sababu kubwa ikiwaita wakimbizi wote kuwa ni wafuasi wa Intarehamwe na MRND na RDM na ni mabaki ya RDF ambao ni wapinzani wa jadi wa RPF.
Sisi kama raia wa nchi jirani za Congo DRC, Kenya, Tanzania, Burundi na Uganda, tumechoka kukaa na wajukuu na vitukuu vya wakimbizi wa tokea 1993 mpaka leo. Lazima ifikie tamati wakimbizi warudi kwao kwa njia yoyote ile, sababu ni haki yao kurudi nyumbani na hakuna wa kuwazuia au kuwafanyia hisani.
Serikali ya RPF iwe tayari kwa hilo na isiogope kukabiliana tena na kizazi kipya cha RDF sababu unapochukuwa madaraka kwa mtutu wa bunduki usiogope kukabiliana tena na mtutu wa bunduki.