Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,122
- 4,699
Mkuu malizia ule uzi wako wa mahojianoMm sio mnyarwanda mkuu ni muandishi wa habari.
Naandika habari za matukio tu.
NB: KUPOTEZANA NI KAZI YA RPF
Nimeshaweka vitu kule..Mkuu malizia ule uzi wako wa mahojiano
Ujinga tu mkuu hakuna sababu ya kuuana.Mauaji ya burundi yalisababishwa na nini.
Mkuu kwa wanyarwanda kusamehana
Bado sana,,maana kwao ukabila na ubaguzi ni ibada
Kama wanaweza kupokea wahamiaji haramu toka uk ni wazi nchi yao bado Kuna nafasiWakirudi watatosha kweli mbona kama nchi ni ndogo sana