Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Haziwezi kuzima majini.Hayatozimikia majini? Au kuwaka moto?
Mkuu ondoa shaka kuhusu kuzima au kuwaka moto, injini za boti zinashabihiana sana na injini za pikipiki.Hayatozimikia majini? Au kuwaka moto?
Kwa Tanzania hakuna dealer anayeleta hizi kuzipata mpaka uagize mtandaoni.Zinapatikana wapi hizo engine mkuu?
Sasa tangazo lako hili kama mali haipo hadi uagize mtandaoni ni la nini?Kwa Tanzania hakuna dealer anayeleta hizi kuzipata mpaka uagize mtandaoni.
Mkuu kuweka huu uzi ni kupeana elimu, hata mimi naweza nikakuagizia au kukupa ushauri uagize ipi.Sasa tangazo lako hili kama mali haipo hadi uagize mtandaoni ni la nini?
Mkuu kutenganisha nchi kavu na majini ilikuwa ni jambo la muhimu sana. Na sisi kama taifa tulichelewa sana. Sumatra ilikuwa imebezi sana kwenye nchi kavu kuzidi majini.Kitendo cha kutenganisha majini na nchi kavu (sumatra) hawakukutendea haki kabisa..[emoji3][emoji3]
Nilitania tu mkuu kwa maana ya kwamba upo vizuri nchi kavu na majini..Mkuu kutenganisha nchi kavu na majini ilikuwa ni jambo la muhimu sana. Na sisi kama taifa tulichelewa sana. Sumatra ilikuwa imebezi sana kwenye nchi kavu kuzidi majini.
Nchi nyingi maji na nchi kavu vimetengwa kivyake. Kuwa na mamlaka ya usimamizi wa maji inaleta tija sana, sisi watu wa kusimamia majini walikuwa wachache sana. Kenya wenzetu wana Kenya Maritime Authority (KMA), South Africa wana (SAMSA), Australia ,Ghana (GMA).
Mamlaka sasa itafanya kazi zake kitaalamu,ingawa kuna upungufu wa vitendea kazi na wataalamu walioajiliwa na mamlaka kuhusu meli na usimamizi wa bandari.
Kwa Tanzania hakuna dealer anayeleta hizi kuzipata mpaka uagize mtandaoni.
Mkuu hiyo boti ya watu wanne utapata isiyozidi mita 5. Sasa kwenye injini utachagua ipi yenye injini ndani(Inboard Engine) au injini nje (Outboard Engine).Mkuu ningependa kupata boti ya kutalii ziwa Victoria maximum seats ziwe nne.Napenda ile ambayo hata kama kuna mvua ziwani haiwezi nipiga.Kama naweza pata kwa hapa Tz ningeomba unipe bei yake kwa Tshs la kama zinapatikana nje(kuagiza) ningeomba unipe amount kwa USD.
ππ
Mkuu hiyo boti ya watu wanne utapata isiyozidi mita 5. Sasa kwenye injini utachagua ipi yenye injini ndani(Inboard Engine) au injini nje (Outboard Engine).
Kama utahitaji kununua boti basi huu ndio wakati sahihi maana biashara ya kuuza boti sasa bei huwa chini kutokana na ugonjwa wa Corona.
Kwa hapa Tanzania wanaouza bei zipo juu sana. Ni bora ukaagiza Afrika kusini,Japan au China...
Mkuu injini hizi mtandaoni zenye 6-8Hp wanauza USD600 na 25-40Hp bei ni kuanzia USD 1600-2000 hiyo bila shipping cost na tax.Mtandaoni ni kiasi gani!? Kuileta mpaka bongo
Na je kuwa dealer hapa tz kwa hizi mashine unahitajika kuwa na mzigo kiasi gani(mtaji)!?
Sawa, unapoagiza ukichukua na tela la boti bei inapaa sana kwaiyo tela unaweza ukaacha hata uku utachonga.Nashukuru bossππ.Nikihitaji msaada zaidi ntakutafuta.
Asante ntafanyia kazi ushauri.Sawa, unapoagiza ukichukua na tela la boti bei inapaa sana kwaiyo tela unaweza ukaacha hata uku utachonga.
Maana tela ya kuvuta boti ya Aluminium bei unaweza kuta inauzwa mpaka million 6.
Bure gharamaNi wakati sahihi kwa watumiaji wa injini za boti kwa ajili ya uvuvi, utalii na matumizi binafsi kugeukia injini za kutoka China baada ya miaka mingi kutumia injini zenye brand kubwa kama Yamaha, Suzuki, Mercury, Honda, Envirude, Tohatsu na Torpedo...
Siyo bure tudhaniayo bali gharama za kununua ni nafuu kidogo. Na hizi brand zinatumika kwenye mataifa mengine na wanazidi kuboresha kulingana na wakati.Bure gharama