Mc cane JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 5,570 Reaction score 10,517 Oct 6, 2018 #21 Kotei ameomba radhi ili asifungiwe/asipewe adhabu na si kwamba kwakuwa ni mstaarabu Yondani alishafungiwa. Aombe msamaha ili iweje? Kwanza huyo kwasi tangu atemewe mate naona amepotea kwenye ramani ya soka
Kotei ameomba radhi ili asifungiwe/asipewe adhabu na si kwamba kwakuwa ni mstaarabu Yondani alishafungiwa. Aombe msamaha ili iweje? Kwanza huyo kwasi tangu atemewe mate naona amepotea kwenye ramani ya soka
K Kizibo255 JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 515 Reaction score 376 Oct 7, 2018 Thread starter #22 GENTAMYCINE said: Yondani a.k.a Cotton akiomba radhi ' nakunya ' mubashara barabarani Dar es Salaam hadi Kigoma! Click to expand... Aiseeeeeee
GENTAMYCINE said: Yondani a.k.a Cotton akiomba radhi ' nakunya ' mubashara barabarani Dar es Salaam hadi Kigoma! Click to expand... Aiseeeeeee
ZionGate JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 6,362 Reaction score 2,991 Oct 7, 2018 #23 Ilo teja haliwez omba radhi
K Kizibo255 JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 515 Reaction score 376 Oct 7, 2018 Thread starter #24 Mc cane said: Kotei ameomba radhi ili asifungiwe/asipewe adhabu na si kwamba kwakuwa ni mstaarabu Yondani alishafungiwa. Aombe msamaha ili iweje? Kwanza huyo kwasi tangu atemewe mate naona amepotea kwenye ramani ya soka Click to expand... Kwamba yale mate yalimroga!!!!??? Nauliza tu
Mc cane said: Kotei ameomba radhi ili asifungiwe/asipewe adhabu na si kwamba kwakuwa ni mstaarabu Yondani alishafungiwa. Aombe msamaha ili iweje? Kwanza huyo kwasi tangu atemewe mate naona amepotea kwenye ramani ya soka Click to expand... Kwamba yale mate yalimroga!!!!??? Nauliza tu