Ni wakati wa Yondani kumuomba radhi Asante Kwasi

Kotei ameomba radhi ili asifungiwe/asipewe adhabu na si kwamba kwakuwa ni mstaarabu

Yondani alishafungiwa. Aombe msamaha ili iweje?

Kwanza huyo kwasi tangu atemewe mate naona amepotea kwenye ramani ya soka
 
Kwamba yale mate yalimroga!!!!???
Nauliza tu
 
Back
Top Bottom