Luvanga1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 2,026 Reaction score 1,706 May 14, 2018 #21 ASANTEE.. Umejianda lakin kabla hawajaja WENYE Team zao
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 May 14, 2018 #22 Ali anajua mziki, diamond anajua biashara na anajua kudeal na wateja... Ndio maana wapo hivyo walivyo
Ali anajua mziki, diamond anajua biashara na anajua kudeal na wateja... Ndio maana wapo hivyo walivyo
IamTheMan Member Joined Apr 20, 2018 Posts 48 Reaction score 60 May 14, 2018 Thread starter #23 Evelyn Salt said: Ali anajua mziki, diamond anajua biashara na anajua kudeal na wateja... Ndio maana wapo hivyo walivyo Click to expand... Diamond anajua mziki+biashara and thats why he is miles ahead of Ali
Evelyn Salt said: Ali anajua mziki, diamond anajua biashara na anajua kudeal na wateja... Ndio maana wapo hivyo walivyo Click to expand... Diamond anajua mziki+biashara and thats why he is miles ahead of Ali
IamTheMan Member Joined Apr 20, 2018 Posts 48 Reaction score 60 May 14, 2018 Thread starter #24 Luvanga1 said: ASANTEE.. Umejianda lakin kabla hawajaja WENYE Team zao Click to expand... waje tu me nimesema ukweli mtu akimaindi ujue dawa imeingia
Luvanga1 said: ASANTEE.. Umejianda lakin kabla hawajaja WENYE Team zao Click to expand... waje tu me nimesema ukweli mtu akimaindi ujue dawa imeingia