Ni wakina nani hawa na wanamadhumuni gani au ni mwanzo mpya wa maarifa umetufikia?

Pendaelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
11,050
Reaction score
31,412
Ukiwasikiliza kwa sikio la kusia wana hoja, japo wapo kinyume na imani zetu, wapo kinyume na uungu na dini na vyote vyenye mwelekeo huo.
Nina nani haswa hawa , wamepata wapi elimu hio wanayo iwasilisha kwetu, madhumuni yao ninini na wametumwa na nani haswa?
 
The age of believing (faith) is over, We are in the age of knowing(facts)

People perish for the lack of knowledge not lack of faith.

Religion must go!
Naam, inaweza ikawezekana ila kwa vile bado tunawaelekeza watoto wetu kwenye nyumba za dini itachukua muda mrefu sana, maana nao watawaelekeza watoto wao na watoto wao wataganya hivyo, huo minyororo utaunga wa mamia ya miaka.
 
Kizazi cha sasa ni kidadisi mno si rahisi kukidanganya kama zamani.

Yani kadiri muda unavyokwenda dini itafutika tu.
 
Mimi ninachoona hapo ni wahuni wawili tu wanapiga stori vijiweni.

Mara nyingi tukiwa tunaongea, hatuwi kwenye dhumuni la kuambiana ukweli, tunakuwa tunachangamshana tu, tuna 'socialize'.

Sasa mnaweza mkaongea kitu ambacho kipo nje ya uwezo wenu kabisa mfano nadharia ya mageuzi.
Mkaanza kuikosoa 'oh, mbona nyani wa leo hawageuki kuwa watu, wazungu waongo, hata ile kwenda mwezini ni uongo'.

Haya ukiangalia kama kuna mtu mwenye wasifu wowote wa kuongelea hilo suala labda degree ya evolutionary biology-hamna.
Sasa mnajuaje kwamba hamlishani uongo?

Hapo wamesema ukristo umetoka kwenye greek philosophy iliyotokana na african philosophy, uthibitisho uko wapi?

'Africa ikifa, dunia inakufa' uthibitisho uko wapi? wewe ni mwanauchumi mpaka useme hivyo?

Angalia wanavyoongea kihisia badala ya kujadili hoja kupitia mifano na udadavuzi.
 
mzee wa fact and logic
 
sasa mkuu unawaamini kweli hao wahuni?

theology level ya saba ndo nini tena?

wanaonekana ni wahuni tu wanataka hela za u-'content creator'
Sio kwamba nawaamini naona kama wana hoja hivi, wakati mwingine kusikia kile ambacho hujawahi kusika ama kutaka kusika unapokisia kabla ha kufanya hitimisho unakijadili kwanza.
 
Sawa ndo uchangie shilingi ikasaidie dollar?

Back
Top Bottom