Naam, inaweza ikawezekana ila kwa vile bado tunawaelekeza watoto wetu kwenye nyumba za dini itachukua muda mrefu sana, maana nao watawaelekeza watoto wao na watoto wao wataganya hivyo, huo minyororo utaunga wa mamia ya miaka.The age of believing (faith) is over, We are in the age of knowing(facts)
People perish for the lack of knowledge not lack of faith.
Religion must go!
Kizazi cha sasa ni kidadisi mno si rahisi kukidanganya kama zamani.Naam, inaweza ikawezekana ila kwa vile bado tunawaelekeza watoto wetu kwenye nyumba za dini itachukua muda mrefu sana, maana nao watawaelekeza watoto wao na watoto wao wataganya hivyo, huo minyororo utaunga wa mamia ya miaka.
Nataka niamini hivyo maana ule udhubutu wa kuhoji uneongezeka sana wakati huu tofauti na jana, hivyo kesho utaongezeka Zaidi na majibu yalio jificha yatazidi kuibuliwa.Kizazi cha sasa ni kidadisi mno si rahisi kukidanganya kama zamani.
Yani kadiri muda unavyokwenda dini itafutika tu.
A lie must surely perish.Nataka niamini hivyo maana ule udhubutu wa kuhoji uneongezeka sana wakati huu tofauti na jana, hivyo kesho utaongezeka Zaidi na majibu yalio jificha yatazidi kuibuliwa.
mimi kwa kweli siwaamini wamekaa kihasarašKuna sehemu wamesema mmojawapo huyo anaye ongea sana amesoma filosofia mpaka level ya saba
sasa mkuu unawaamini kweli hao wahuni?Hii hapa nimeipata
View attachment 3065717
mzee wa fact and logicMimi ninachoona hapo ni wahuni wawili tu wanapiga stori vijiweni.
Mara nyingi tukiwa tunaongea, hatuwi kwenye dhumuni la kuambiana ukweli, tunakuwa tunachangamshana tu, tuna 'socialize'.
Sasa mnaweza mkaongea kitu ambacho kipo nje ya uwezo wenu kabisa mfano nadharia ya mageuzi.
Mkaanza kuikosoa 'oh, mbona nyani wa leo hawageuki kuwa watu, wazungu waongo, hata ile kwenda mwezini ni uongo'.
Haya ukiangalia kama kuna mtu mwenye wasifu wowote wa kuongelea hilo suala labda degree ya evolutionary biology-hamna.
Sasa mnajuaje kwamba hamlishani uongo?
Hapo wamesema ukristo umetoka kwenye greek philosophy iliyotokana na african philosophy, uthibitisho uko wapi?
'Africa ikifa, dunia inakufa' uthibitisho uko wapi? wewe ni mwanauchumi mpaka useme hivyo?
Angalia wanavyoongea kihisia badala ya kujadili hoja kupitia mifano na udadavuzi.
Sio kwamba nawaamini naona kama wana hoja hivi, wakati mwingine kusikia kile ambacho hujawahi kusika ama kutaka kusika unapokisia kabla ha kufanya hitimisho unakijadili kwanza.sasa mkuu unawaamini kweli hao wahuni?
theology level ya saba ndo nini tena?
wanaonekana ni wahuni tu wanataka hela za u-'content creator'
Mimi ninachoona hapo ni wahuni wawili tu wanapiga stori vijiweni.