Ni wakina nani walitaka Samia asiapishwe Rais wa Tanzania? Walitaka nani aapishwe? Kama CDF asingesimama imara nini kingetokea?

Na kama Magufuli ndio angekuwa makamu na Samia Rais, baada ya kuapishwa hao wote waliotaka kuingiza nchi kwenye historia ya keep shetani wangekuwa hawapo duniani
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hii NONDO kali watag wengi waje wachukue notes. Watu wanakaza vichwa kwa kutoa maoni wakati sheria imeelekeza hawa ndio wale wale waliosahau katiba in mabeyo voice
 
Mabeyo aliingizwa mkenge na Msoga gang, plan yao ikafanikiwa kiulaini
Sasa katiba inasema Rais akishindwa kuendelea Makamu anachukua nafasi ....
Sasa kosa liko wapi ?

Au angechukua Ndugai ingekuwa sawa ?
 
Katiba ina mambo mengi sana Ambayo yanahitaji kubadilishwa mkuu Kumbuka katiba hii iliyopo ni katiba iliyopitishwa Kipindi Tanzania ikiwa ni Nchi ya Chama kimoja mwaka 1977..
Hii katiba ni mbovu sana.

Tunapozungumzia rais wa Tanzania, ndiye huyohuyo rais wa Tanganyika ambayo imefichwa. Rais huyo shurti awe mtanganyika.

Waliotaka kupindua meza wasionwe kama wasaliti, ipo siku historia itawakumbuka kama mashujaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…