fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
Naendelea kujiuliza hizi course za POLITICAL SCIENCE zinakazi gani kama tunaokoteza okoteza tu viongozi kwa kuangalia umaarufu wao!
Kwann wasibebe wasomi/malecture ama watumishi wa serikali kwa nafasi hizi Zaid ya kuwajaza wauza sura,wasanii na wapiga picha na kushinda instagram muda wote!
Hivi jokate kweli ni wa kupelekwa Temeke!
Kweli Nicki wa pili ndo mkuu wa wilaya?
Vyeo hivi havina hadhi tena labda Sasa tuseme ni mabalazi wa kuitangaza serikali na si wakuu wa wilaya.
Mama SSH kweli hii ndo vetting mloumiza kichwa kuifanya Zaid ya miezi3 miwili?
Mbona wapo watu wanauwezo mkubwa sanaaa walistahili hizo nafasi?
Au ndo wakajiajiri kuuza jeans na t-shirt online (madalali) waongeze vi elfu3 wapate nao kula?