Katika hotuba yake leo, miongoni mwao mambo aliyoyasema rais ni kuwa kuna watu wametumia mikutano ya kisiasa kuchambua dini za wengine, jambo ambalo lilimkera sana rais.
Je, ni kweli hilo limefanyika na wapi, na nani, lini. Kama sio kweli basi wanasaikolojia wamsaidie na watusaidie. Huenda uzi huu ukafutwa ila swali halitafutika.
Pale juu nilitaka kusema " waliochambua" na sio waliochangia