CCM ilipoanza kuwatumia waislamu 'kama shehe Mwaipopo' kunyamazisha wakosoaji wa mkataba wa bandari ilitegemea nini!Katika hotuba yake leo, miongoni mwao mambo aliyoyasema rais ni kuwa kuna watu wametumia mikutano ya kisiasa kuchambua dini za wengine, jambo ambalo lilimkera sana rais. Je ni kweli hilo limefanyika na wapi, na nani, lini. Kama sio kweli basi wanasaikolojia wamsaidie na watusaidie. Huenda uzi huu ukafutwa ila swali halitafutika.
Pale juu nilitaka kusema " waliochambua" na sio waliochangia
Katika hotuba yake leo, miongoni mwao mambo aliyoyasema rais ni kuwa kuna watu wametumia mikutano ya kisiasa kuchambua dini za wengine, jambo ambalo lilimkera sana rais. Je ni kweli hilo limefanyika na wapi, na nani, lini. Kama sio kweli basi wanasaikolojia wamsaidie na watusaidie. Huenda uzi huu ukafutwa ila swali halitafutika.
Pale juu nilitaka kusema " waliochambua" na sio waliochangia
Inaonekana elimu yako ni ya madarasa tu, sipotezi mda wangu kwakoNi kwamba hujui kweli au ? Tuliahawaambia nyie pinga pinga mbowe alizingua alipoleta mambo ya dini kwenye bandari mpk ikawa inaonekana wanao ukubali ni waislam kisa dp world ni waarabu
Na kila cku uzi wa ubaguzi ikawa humu afu leo unaandika as if uko smart na rais kakurupuka
uwezo wa kuchambua na kuchanganua vitu ni questionable kwa mama abdulNafikiri ni zile baadhi ya quote zilizokua zinasema “kwani tulimsema magu kwa sababu ya ukristo wake” “kwani tukimsema mama ni kwa sababu ya uislam wake”
Sasa sijajua kuna udini gani hapo