Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Kama unamiliki suruali zaidi ya kumi na tano na una boksa mbili tu wewe ni mchafu!
Kama una pea moja tu ya viatu wewe ni mchafu,mwanaume viatu
Kama unapiga mswaki Mara moja tu kwa siku wewe ni mwanaume mchafu!
Kama huwezi hata kuwa na perfume zaidi ya tatu ghetto wewe ni mchafu!
Kama una pea moja tu ya shuka na hata taulo huna wewe ni mchafu!
Kama unatumia mikono kufuta kamasi wewe ni mchafu!
Kama nywele zako huwezi kugharamia hata tsh 30000 kwa mwezi wewe ni mchafu!
Team wachafu njoeni mtoe mapovu[emoji23]
Halafu sasa wamiliki perfume ndiyo hao wachafu kupitiliza, wengi wao huficha harufu ya miili yao. Perfume si kigezo cha usafi, bali kuondoa nywele za kwapa na kuoga zaidi ya mara moja. Kuzuia mwili usinuke haswa makwapani na kwenye makende kutokana na mihangaiko ya kutwa nzima.
Boksa kweli, maana utakuwa unashindia moja kila siku. Hilo ni tatizo pia
Nywele napo kutumia gharama kubwa si kigezo cha usafi
Taulo na shuka sawa,