Ni wanaume wangapi tunajali usafi?


Halafu sasa wamiliki perfume ndiyo hao wachafu kupitiliza, wengi wao huficha harufu ya miili yao. Perfume si kigezo cha usafi, bali kuondoa nywele za kwapa na kuoga zaidi ya mara moja. Kuzuia mwili usinuke haswa makwapani na kwenye makende kutokana na mihangaiko ya kutwa nzima.

Boksa kweli, maana utakuwa unashindia moja kila siku. Hilo ni tatizo pia

Nywele napo kutumia gharama kubwa si kigezo cha usafi

Taulo na shuka sawa,
 
Dah! Wanaume wa Dar bwana! Yaani huo umama ndo unahimiza wanaume wote tuwe nao?? So sad
 
Aisee nilikuwaga na x mmoja hivi, kwa Usafi nampa shikamoo. Anatumia sabuni clasic, zile body wash/ liquid soap, kichwani shampoo nzuri zinanukia [emoji16] sio haya ma sabuni ya vipande
Tatizo pesa si kwamba hatutaki hayo makorokoro unayoyasema
 
Perfume 3 jamani za nini. Wewe utakuwa hauogi
 
Mi binafsi naona mwanaume ni bora awe na boxer nyingi,soksi nyingi na vest nyingi plus viatuka sivyo majangaaaa coz wanaume ni wachafu saana kwenye nguo za ndani 80% wanarudiaga nguo za ndani so its better awe na nguo za ndani nyingi
Kurudia ni jadi bwana hatuvuji maji sisi
 
Kuna perfume
Kuna vinukilizi mwili (perfume, body spray, deodorant)
Vinavyopaswa kuwa vitatu ni vipi?
 
Nywele 30,000 kwa mwezi mimi mchafu!!
Kucha je sh ngapi kwa mwezi mtoa mada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…