Ni wanawake wa kabila gani wanaosifika kwa mambo kama haya?

Ni wanawake wa kabila gani wanaosifika kwa mambo kama haya?

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Apo kamfunga mumewe asitoke na mwanamke mwingine.
Wanawake bana 🤣🤣
FB_IMG_1760031950199.jpg
 
Huko kwetu kuishi bila kuchepuka nahisi itakuwa ni dhambi kwetu, siyo kwamba nawapamba wanawake wa kwetu ila ndiyo ukweli, kwetu tunachepuka vya kutosha na kuchapiwa wake zetu kila siku, kiroho safi maisha yanaenda ila nikijua utahira na makopo unamfaa kabisa.
 
Back
Top Bottom