Octoba sitiki
Member
- Jul 15, 2025
- 20
- 31
Kiukweli nasikitika sana kuona kadri miaka inavyoenda Jukwaa hili linazidi kuwapoteza watu ambao ni Great Thinkers na badala yake Jukwaa kwa sasa lmejaa watoto ambao ata kung'amua michezo kama hii wa nashindwa!
Iko hivi,.
CCM wa nachokifanya ni kuwaengua wale watu ambao walipata kura nyingi kwenye mchakato wa kura za maoni na pia ata ukifatilia katika majimbo husika watu hao wanakubalika ata na wananchi wa kawaida wasio wanachama wa CCM,
Hivyo basi ilichofanya kamati kuu ni kuwaengua hao wagombea Walioshinda kura za maoni na kuweka walioshindwa ili mwisho wa siku ije kuonekana wanachama na wananchi wa jimbo husika wamekasirishwa na hilo swala zen kwenye uchaguzi ionekane wananchi hao na wanaccm hao kura zao wamewapgia wagombea wa vyama vya upinzani (rejea kauli ya pole pole kuhusu vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchafuzi ujao..
Oohh sorry I mean uchaguzi ujao). Kwahyo itaonekana wapinzani wameshinda kwenye majimbo ayo zen watatangazwa kuwa washindi, hii inatengenezwa kufanya ionekane kama ule uchaguzi wa mwaka 2015 baada ya wapinzani wengi kushinda majimboni kwasababu ya wanaccm wao kwa wao walipiga kura za hasira kwenye majimbo ayo husika!
Ndo mana ukija kuangalia majimbo mengi waliokatwa walioongoza kura za maoni ni yale maarufu mfano. Kigoma mjini, Bunda, Tarime mjini, Tanga mjini, Nyamagana, Musoma mjini! Nawahakikishieni Uchaguzi ukifanyika majimbo ayo watashinda upinzani na game itakuwa imeisha namna hiyo!
#octoba tunatiki
#no reform no election
#octoba Linda kura
#muhuni hasusiwi