Ni wangapi wanakumbuka jina la huyu dogo?

Ni wangapi wanakumbuka jina la huyu dogo?

Huyo anaitwa Pazi..pazi ilikuwa kila jioni anatumwa na wazazi wake kwenda kuwafungulia kuku na pindi akienda bandani Pazi alikuwa na tabia ya kuwapiga sana hao kuku,mmoja anaitwa nihurumie na mmoja anaitwa naumia.Siku moja ndo hao kuku walimfungia kazi huyo pazi walimpiga na kumning'iniza kichwa chini na miguu juu.Toka siku hiyo Pazi hakurudia tena kupiga hao Kuku
 
Back
Top Bottom