Ni wapi au mtandao gani unaweza kunikopesha kwa wakati huu?

Msuya45

Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
12
Reaction score
5
Wadau kama kichwa kinavyosema, nimekwama nahitaji angalau 5k nipate lunch, ni site au app gani inaweza kunifanikishia hilo kwa muda mfupi?

Naombeni muongozo wadau, jua ni kali tumbo lina mgogoro.
 
Njoo pm nikukopeshe unataka shilingi ngani?
 
Songesha, Timiza au Nivushe. kama huko umekosa basi utakuwa hujakidhi vigezo vya kupata mkopo.
 
Minyoo wamepambaa moto au cyo mkuu...shukuru ukuwekewa kioo Kwenye Hilo tumbo ungewaonea huruma minyoo wadogo wanavyomezwa na wakubwa ...
 
Kweli huko nimejaribu na nimeambiwa sina vigezo, kuna sehemu nimeenda kufanya kazi sasa eti nimeambiwa nisubiri kazi inaanza kesho, mimi ni fundi kwahiyo nalipwa baada ya kufanya kazi.
 
Minyoo wamepambaa moto au cyo mkuu...shukuru ukuwekewa kioo Kwenye Hilo tumbo ungewaonea huruma minyoo wadogo wanavyomezwa na wakubwa ...
mkuu kama unafamu sehemu naweza kupata Msaada naomba uniambie
 
Mkuu kopa Kwenye songesha au bustisha km unakizi vigezo ,au km una nida krb pesa x,na app zingine zipo uko play store
 
Back
Top Bottom