Wap huko mkuu?Neenda mikoa ya nyanda za juu kusini! utapata ya kutosha tu, gunia elf15 hadi 20!
Funguka mkuu...dar huku gunia ni 120kUko WAP mkuu.. Kuna chimbo naskia kuna mzigo wa kutosha
Nenda Njombe mkuuWap huko mkuu?
Mbeya ndio wana mahiindi mapya kwa sasa ila songea kwenye mahindi ya kutosha bado kidogoNeenda mikoa ya nyanda za juu kusini! utapata ya kutosha tu, gunia elf15 hadi 20!
Hyo ni bei ya zamani mkuu mahindi sasa hivi imepanda sana songea kwenyewe vijijini sasa hivi ni 30-40 hyo bei subiri kuanzia mwezi wa 8 ndio utakutana na hadi 15 kwa guniaNeenda mikoa ya nyanda za juu kusini! utapata ya kutosha tu, gunia elf15 hadi 20!
Mkuu jumamosi nilinunua mahindi gunia la mahindi elf20 debe moja elf4 sehemu fulani inaitwa utalingoro sijui kama unapajua!!!!Hyo ni bei ya zamani mkuu mahindi sasa hivi imepanda sana songea kwenyewe vijijini sasa hivi ni 30-40 hyo bei subiri kuanzia mwezi wa 8 ndio utakutana na hadi 15 kwa gunia
Iko Njombe mkuu kama dk 30 hivi kutoka mjini!mkuu Utalingoro ni mkoa gani?