Ni wapi kuna mahindi mapya

Ni wapi kuna mahindi mapya

SEMKIWA3

Senior Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
103
Reaction score
59
Habari zenu wanajamvi;

Tafadhari kwa yeyote anayefahamu ni wapi/mkoa/wilaya gani hapa Tanzania ambapo kwa sasa ndio wanafanya mavuno ya mahindi yaani kunapatikana mahindi mapya ndani ya muda huu wa mwezi wa nne hadi watano mwishoni?
 
Neenda mikoa ya nyanda za juu kusini! utapata ya kutosha tu, gunia elf15 hadi 20!
 
Hyo ni bei ya zamani mkuu mahindi sasa hivi imepanda sana songea kwenyewe vijijini sasa hivi ni 30-40 hyo bei subiri kuanzia mwezi wa 8 ndio utakutana na hadi 15 kwa gunia
Mkuu jumamosi nilinunua mahindi gunia la mahindi elf20 debe moja elf4 sehemu fulani inaitwa utalingoro sijui kama unapajua!!!!
 
Back
Top Bottom