da irritant boy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 402
- 444
Ni wapi kwa dar au morogoro nitapata ream papers zenye ubora kwa bei ndogo
Kama unazo tuwasiliane kwan nina hitaji mzigo mkubwa
Kama unazo tuwasiliane kwan nina hitaji mzigo mkubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mufindi ha ha ha,anyway pale kkoo,barabara ya Uhuru ukifika kituo cha Congo cha daladala unavuka road kuna stationary zinauza kwa jumla,Mara ya mwisho ilikuwa 41500/=Kwanini usiende mgololo
Mgololo ndio wapi au umemaanisha mgolole kama unaenda kiloka??Kwanini usiende mgololo
Anhaa aisee shukran sana, kwa sasa nipo moro ila weekend ntakwenda kufanya surveyMufindi ha ha ha,anyway pale kkoo,barabara ya Uhuru ukifika kituo cha Congo cha daladala unavuka road kuna stationary zinauza kwa jumla,Mara ya mwisho ilikuwa 41500/=
Mufindi ha ha ha,anyway pale kkoo,barabara ya Uhuru ukifika kituo cha Congo cha daladala unavuka road kuna stationary zinauza kwa jumla,Mara ya mwisho ilikuwa 41500/=
Nenda kafanye survey,niliko namba moja Dolphin,ni 55000,na hazipatikani kirahisiAnhaa aisee shukran sana, kwa sasa nipo moro ila weekend ntakwenda kufanya survey
Hiyo bei ya 41500 ililuwa mda gani ulienda??
Khee mbona bei kali namna hiyoNenda kafanye survey,niliko namba moja Dolphin,ni 55000,na hazipatikani kirahisi
Ndiyo bei iliyopo,nadhani kwasababu vyuo vimefungwa,vikifunguliwa itashuka kidogo.Khee mbona bei kali namna hiyo
Upo sehem gani??
😅😄😃😂😁😀Ndiyo bei iliyopo,nadhani kwasababu vyuo vimefungwa,vikifunguliwa itashuka kidogo.
Ndo hivyo...... 48+ nyingine tofauti na DOLPHIN.😅😄😃😂😁😀
Kweli Uchumi Wa Kati
Nina mondi 1 nauza kwa 42000..ukichukua kuanzia 100 nakufanyia discountNi wapi kwa dar au morogoro nitapata ream papers zenye ubora kwa bei ndogo
Kama unazo tuwasiliane kwan nina hitaji mzigo mkubwa
0787699766.Nina mondi 1 nauza kwa 42000..ukichukua kuanzia 100 nakufanyia discount
Kuna mgololo paper .... na hyo mgolole ya waluguruMgololo ndio wapi au umemaanisha mgolole kama unaenda kiloka??
Nina mondi 1 nauza kwa 42000..ukichukua kuanzia 100 nakufanyia discount
Mkuu kwa sasa hakuna ream utakayopata kwa bei nafuu kwa corton k/koo carton 1 double 45000 izi zingine ndio utakuta kwa carton 1 40000/= mpaka 42000/=Ni wapi kwa dar au morogoro nitapata ream papers zenye ubora kwa bei ndogo
Kama unazo tuwasiliane kwan nina hitaji mzigo mkubwa