Ni wapi kwa Dar au Morogoro nitapata ream papers

Ni wapi kwa Dar au Morogoro nitapata ream papers

da irritant boy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
402
Reaction score
444
Ni wapi kwa dar au morogoro nitapata ream papers zenye ubora kwa bei ndogo

Kama unazo tuwasiliane kwan nina hitaji mzigo mkubwa
 
Mufindi ha ha ha,anyway pale kkoo,barabara ya Uhuru ukifika kituo cha Congo cha daladala unavuka road kuna stationary zinauza kwa jumla,Mara ya mwisho ilikuwa 41500/=
Anhaa aisee shukran sana, kwa sasa nipo moro ila weekend ntakwenda kufanya survey

Hiyo bei ya 41500 ililuwa mda gani ulienda??
 
Anhaa aisee shukran sana, kwa sasa nipo moro ila weekend ntakwenda kufanya survey

Hiyo bei ya 41500 ililuwa mda gani ulienda??
Nenda kafanye survey,niliko namba moja Dolphin,ni 55000,na hazipatikani kirahisi
 
Back
Top Bottom