Ni wapi kwa Dar wanatoa huduma ya ujenzi wa nyumba aina hii?

Nyumba ya kuishi maisha ya kila siku na familia, tofali halina mpinzani

Container unaweza kuliweka shambani huko nje ya mji,mara moja moja unakwenda kwa mapumziko,weekend au likizo,inapendeza zaidi
Got You ntafanya mpango wa container
 
Hi Hiyo Bei ya hayo makontena na makorokoro yote SI Ni bora TU ujenge ka ghorofa zaidi ya hako ka tofali za block mkuu
 
Kutu vipi mzee? Au kuna layers zitafuatia ili chuma kisiguswe na unyevu nyevu? Joto na baridi utaregulate vipi?
Si unaweka zile profile kama kwenye maghorofa ya kisasa mkuu? Container la Mac juice umeliona lilivyo dizainiwa kwa nje???
 
We Mzee chadema ilishakuchanganya
 
Hakuna...
Kwa taratibu za hapa ipo siku utakuta kibanda kimepakiwa na wagambo wa Jiji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…