Ni wapi kwa Kigamboni ninaweza kupata hizi vegetables

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
18,773
Reaction score
51,429
Habari ya mchana watu wangu wa nguvu, nimewamiss yoooπŸ˜‰πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜

Haya twende kwenye uzi wakuu, naombeni kujuzwa sehemu wanapouza hizi mboga mboga kwa maeneo ya Kigamboni.

Thank youuu😘

 
UNaishije kigamboni? We mvuvi au mpemba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…