Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Ndiyo atakuwa sahihi.Hapana hakutoa taarifa baada ya mambo kwenda vibaya ndio anaona ni bora aende nacte akatoe hiyo hoja ili aweze kupewa mtihan upya je atakua sahihi
Taarifa inaweza kutolewa kabla ama baada ya tukio kulingana na mazingira.
Aende akatoe malalamiko yake atapata usaidizi maana kama utaratibu ulikiukwa basi kuna uwezekano wa zoezi zima la mtihani kuwa void hivyo kupelekea kurudiwa upya na wanafunzi wote.