Ni wapi mwanachuo huyu atapata msaada kwa uzembee huu wa Mwalimu?

Status
Not open for further replies.
Hapana hakutoa taarifa baada ya mambo kwenda vibaya ndio anaona ni bora aende nacte akatoe hiyo hoja ili aweze kupewa mtihan upya je atakua sahihi
Ndiyo atakuwa sahihi.

Taarifa inaweza kutolewa kabla ama baada ya tukio kulingana na mazingira.

Aende akatoe malalamiko yake atapata usaidizi maana kama utaratibu ulikiukwa basi kuna uwezekano wa zoezi zima la mtihani kuwa void hivyo kupelekea kurudiwa upya na wanafunzi wote.
 
Shukran mkuu
 
Case yake anashinda mapema sana kwa kipengele hicho tu cha kutosikilizwa.

Lakini kama ulipewa wito rasmi wa kufika mbele ya wahusika kwa ajili ya ukaguzi na ukakosa kufika pasipo kutoa udhuru wowote hilo ni tatizo.
Ok shukran sana mkuu
 
Ok mkuu, ngoja nimwambie afanye hivyo shukran sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…