sky soldier JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 5,407 Reaction score 19,264 May 3, 2023 #1 Dye ni unga au maji maji ambayo hutumika kubadili rangi, tuliyoizoea wengi ni ya nywele inaitwa picco, pia huwa kuna dye maalum kwajili ya nguo ambayo hutumika kurejesha rangi ya nguo hasa hizi jeans na cardets. Ni wapi naweza kuipata? Your browser is not able to display this video.
Dye ni unga au maji maji ambayo hutumika kubadili rangi, tuliyoizoea wengi ni ya nywele inaitwa picco, pia huwa kuna dye maalum kwajili ya nguo ambayo hutumika kurejesha rangi ya nguo hasa hizi jeans na cardets. Ni wapi naweza kuipata? Your browser is not able to display this video.