Ni wapi naweza kupata nyama safi ya Kitimoto for the weekend hapa Dar

Ni wapi naweza kupata nyama safi ya Kitimoto for the weekend hapa Dar

Naombeni kwa wale wazoefu mnijuze, ni wapi naweza pata nyama safi ya mdudu kwa ajili ya kuuburudisha mwili na roho yangu for the weekend, nimechoka sana na kazi zimenibana sana nahitaji mdudu nile nitulie hadi jumatatu.

Asanteni sana kwa wale mtakaonijuza na kwa wale mtakaokasirika nawakaribisha pia ila muache wivu
Nenda pale nyuma ya BAKWATA. Hutojuta.
 
Mkuu, nami nilikuwa na shida hiyo asante!
Tuhamasishane kumla abubakali kwa sana kwa ajili ya afya zetu.
Utafiti uliofanyika Wachina ni no1 kwa ulaji wa abubakali hawatupi kitu.
Na ndio wanadamu wanaoishi sana hapa ktk sayari yetu.

Uliacha uislamu ukahamia kwenye ukafiri?
Maana naona avatar yako ina maneno ya kiarabu (Quran) halafu unashabikia haramu!!
 
duh!!...............asanteni sana skills4ever na belindajacob................jamani hayo maeneo ya migombani-savei mmenikumbusha enzi zangu nakamata buku UD................. duh, ukishabarikiwa na mbusi katoliki, mtu mzima unahamia cafe latino pale sam nujoma road au sisimizi pale daraja la ubungo kwa ajili ya kushushia mbuzi wako kwa maji ya dhahabu.................. hapo ilikuwa unakamata ni mpaka majogooo ................ huku ukitumbuizwa na live band za uswazi kila alhamisi (cafe latino) ................... kama boom halijaanza kulaliia kushoto, unaweza kupata escort ya totoz yako moja uliyoiimbisha nyimbo chini ya mdigree................. aaaggh, jamani acheni tu tuzeeke sasa, tumetoka mbali aisee.....................

How old are you right now?
 
Cafe Latino naona hakubambi sana siku hizi..halafu pamebadilika kweli pia Sisimizi sababu ya barabara!!..

Karibu siku nyingine migombani-savei mana hapazeeki pale!..jioni kama ya leo ni kufurahia weekend na nyama yetu katoliki!!

Hii bar ya migombani bado ipo!!??
Ni pale opposite na mliman city??
 
Back
Top Bottom