Ni wapi naweza kupata nyama safi ya Kitimoto for the weekend hapa Dar

Kwa mtoro. We ukifika ulizia 2

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

HARAMU....kula mchicha tu
 
Ukiwa DAR - Tia mguu kwa Mama Kamche, opp. Kakobe

Ukiwa Songea - Tia mguu Bombambili karibu na Village Park

Ukiwa Cairo Egypt - Caracas Avenue Plot 17B kuna kamgahawa kadogo sana ka Wafaransa

Ukiwa Doha Qatar - Ramada Plaza (Continental Bay)

Ukiwa Maryland USA - Tia mguu Ping Sheng Sichuan Buffet ipo Silver Spring karibu na National Liquidator

Ukiwa Nairobi Kenya - Luthuli Street nyuma ya stendi ya Falcon (Mgahawa wa Wasomali) kitambo sasa sijui kama bado wapo (last time mwaka 2000)

Ukiwa Bagamoyo - Hii barabara inayoenda Kiwangwa, Miono inaanzia makaburini, hatua chache baada ya njia ya stendi

Hii kitu hii
 

Pemba je?
 

dah .... mkuu wewe ni kibobo .... una ka- registry kako ka myama
 

Ha ha ha
 
Kuna mdau kauliza je akienda Pemba atawezaje pata hii huduma? Duh wallah hadi mate yan'dondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…