Ni wapi naweza kupata nyama safi ya Kitimoto for the weekend hapa Dar

ebu fika sinza leggo kwenye uwanja opposite na sunsiro club
 
hahahaha mkuuu hapo kwenye red kweli?? gharama ikoje na kitimoto kilo bei gani??
 
Ilala boma pale flat kuna mbunifu anatengeneza hadi sambusa zake!ni tamu sana ukipata muda pita pale ule mishikaki,roast,kavu na sambusa zake!

Pia nasikia kuna sehemu mburahati huko inavuma sana ingawa wadau wanasema mazingira yake mmm,na sehemu nzuri kulizo zote dar kwa sasa nenda Coco Beach!pale utapata ya kuchoma na style ambayo hutaenda kula sehemu ingine!pita pale!wameiga wale wa slip way village pale ambao wanauza kwa uzito!400mg kwa 20,000 uzungu sana pita pale Coco!utanipa habari yake!

Na mwisho pia nakupa ubunifu wako!nenda sehemu yako unayopenda!waambie waichemshe kwanza nyama ulioagiza!ikiiva!nunua safari lager moja,mimina mule na funika iendelee kuchemka na ile nyama!ile bia(mafuta) ikikauka itakuwa iko tayari!ukila ile nyama na taste yake sidhani kama utapenda kula hizo roast au kavu tena!!!
 

Sambusa za kitimoto ???
 
Jana nilikua Mabibo pale Chuo cha Usafirishaji (NIT) kuna rafiki yangu mmoja akanipeleka Bar moja inaitwa FULL DOSE duh, ni full dose ya ukweli, kitimoto mwanzo mwisho ni steki tu? halafu ina ile ladha halisi sio hizi za kuchomwa sindano
 
Njoo LUDIS farm Bahari Beach karibu na ilipokuwa Bahari Beach hotel au karibu na Hotel ya Budget
 


Bado sijakuelewa, yaani unalilia kupata ukimwi (mdudu) ama? Kama ni hivyo mbona ni kazi rahisi tu. Kama unagawa tigo, anza kugawa kuanzia leo bila condomu, na kama uapenda machangu basi fanya hivyo hivyo, yaani kuanzia leo anza kutembea nao bila kinga. Kama ulikuwa unamaanisha mdudu as in mdudu jinsi tumjuavyo, basi pale Kisutu sokoni wanauza mifuko ya senene wabichi na waliokaangwa. Nafikiri nimeshakusaidia mpaka hapo.
 
Hahahhaaaa kweli weewe Jamaaa_mbishi........haya mie nataka NOAH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…