Wa Katutura JF-Expert Member Joined May 5, 2019 Posts 366 Reaction score 450 Aug 30, 2024 #1 Hili zao linasemekana lina patikana sana katika mikoa ya Tabora haswa Mpanda mpaka Kigoma, ni bei gani kwa Kilo au kwa gunia?
Hili zao linasemekana lina patikana sana katika mikoa ya Tabora haswa Mpanda mpaka Kigoma, ni bei gani kwa Kilo au kwa gunia?
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Aug 30, 2024 #2 Wa Katutura said: Hili zao linasemekana lina patikana sana katika mikoa ya Tabora haswa Mpanda mpaka Kigoma, ni bei gani kwa Kilo au kwa gunia? View attachment 3083029 Click to expand... Arabic gum = ubani. Siyo nta. nta = wax.
Wa Katutura said: Hili zao linasemekana lina patikana sana katika mikoa ya Tabora haswa Mpanda mpaka Kigoma, ni bei gani kwa Kilo au kwa gunia? View attachment 3083029 Click to expand... Arabic gum = ubani. Siyo nta. nta = wax.
Wa Katutura JF-Expert Member Joined May 5, 2019 Posts 366 Reaction score 450 Aug 30, 2024 Thread starter #3 FaizaFoxy said: Arabic gum = ubani. Siyo nta. nta = wax. Click to expand... Ndio huohuo dada mkuu ni Ubani kumbe na sio Nta
FaizaFoxy said: Arabic gum = ubani. Siyo nta. nta = wax. Click to expand... Ndio huohuo dada mkuu ni Ubani kumbe na sio Nta