Ni wapi naweza nikapata sigara.?

Ni wapi naweza nikapata sigara.?

catton moja ina outer au wanaziita Bomba 100. hiyo unayosema ina paketi kumi ni Bomba sio caton. Carton ni box yenye hizo bomba za pakiti kumi kumi mia Moja. Hiyo biashara nimefanya sana mkuu miaka fulani hivi ila naambiwa sasa hivi imepanda inafika kwenye 40M Kwa carton
Sawa nkuu
 
Mkuu hata hivyo hii hesabu yako haijakaa sawa 40M ukigawa kwa hizo outer 100 ni sawa kila outer 1 ni 400K kwa hiyo pakti 1 yenye sigara 20 itakuwa 40K hii sio sawa.
 
Back
Top Bottom