Upo sehemu gani ungeenda kule amani kule kuna guest na lodge na hata pombe wanauza pia na utelezi utapata pia nenda pale darajani kuna vigari vya kwenda hukoNi wapi naweza pata chumba cha kulala na tsh 60,000 kwa usiku
Sijakuelewa yaani unataka chumba cha kulala na vilevile upewe na sh 60,000 Au mm sielewi kiswahiliNi wapi naweza pata chumba cha kulala na tsh 60,000 kwa usiku
Ramadhan hii na pombe na utelezi tena au unataka mwezako achapwe mikwaji na akilia jioni apewe ubuyu na urojo?.Upo sehemu gani ungeenda kule amani kule kuna guest na lodge na hata pombe wanauza pia na utelezi utapata pia nenda pale darajani kuna vigari vya kwenda huko
Vijana wa dar es saalamRamadhan hii na pombe na utelezi tena au unataka mwezako achapwe mikwaji na akilia jioni apewe ubuyu na urojo?.
M nataka cha 40kNi wapi naweza pata chumba cha kulala na tsh 60,000 kwa usiku
Atavaa ya mchina hayaingii fimboRamadhan hii na pombe na utelezi tena au unataka mwezako achapwe mikwaji na akilia jioni apewe ubuyu na urojo?.
Eeh!, watalaam, wazee wa kazi chafu!, watu wa kazi kazi!Upo sehemu gani ungeenda kule amani kule kuna guest na lodge na hata pombe wanauza pia na utelezi utapata pia nenda pale darajani kuna vigari vya kwenda huko
AnyimweeasipeweeSijakuelewa yaani unataka chumba cha kulala na vilevile upewe na sh 60,000 Au mm sielewi kiswahili
Dreams hotel, niliwahi kulala hapoNi wapi naweza pata chumba cha kulala na tsh 60,000 kwa usiku
Labda tunguuNi wapi naweza pata chumba cha kulala na tsh 60,000 kwa usiku
Mwenyeji nipo hapa untka kukaa kwa siku ngapi?Ni wapi naweza pata chumba cha kulala na tsh 60,000 kwa usiku
siku tanoMwenyeji nipo hapa untka kukaa kwa siku ngapi?
Kuanzia lini?siku tano
april 5thKuanzia lini?
Utapata wala usikhofuapril 5th
Mkuu ntafutir ya 50 siku 4 niinbox nambayakoMwenyeji nipo hapa untka kukaa kwa siku ngapi?