Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Kwani kabla ya kuyakosa ulikuwa unayapata wapi?Kabla ya Kisutu ulikuwa mteja wa soko lipi?Ahsanteni wakuu baadae nitaenda kuyacheki
Maana ni miezi minne sasa tangu niyakose
Kwa kweli yamenishinda hata mimi 😄 🤣jina lako linaendana na matunda unayoyatafuta yaonyesha hayo matunda ni ya hovyo sana!
Sawa bwana Malakul mautiAhsanteni wakuu baadae nitaenda kuyacheki
Maana ni miezi minne sasa tangu niyakose
Kisutu iko jirani na hotel koooooongwe afu kongwe tena hapa dar na isiyobadilika ya Peacock Hotel ni ya vioo full na Kuna kimoja Kiko wazi tangu mwaka 2003Kisutu kisutu kusutu kisutu hata sipajui