Ni wapi naweza pata haya matunda kwa hapa Dar es salaam?

Ni wapi naweza pata haya matunda kwa hapa Dar es salaam?

Kwani kabla ya kuyakosa ulikuwa unayapata wapi?Kabla ya Kisutu ulikuwa mteja wa soko lipi?
Kuna kijana alikuwa ananiletea ila baadae akawa ananiletea matunda mengine nikimuuliza ananijibu hakuna sasa hivi
 
Sina uhakika kama yanalimwa bongo haya

Ndiyo ni ya hovyo sana yana kaharufu kabaya kama kama sio mzoefu huwezi kula
Yapo mengi Tu kaka kule kwetu yanatumika kama wigo wa fensi Yana miiba hivi ni matamu kweli ndio maana Sisi huwa tunasema ukila ni matamu Sana mwili wote unafurahi ikiwemo na jicho la sehemu ya haja kubwa
 
Back
Top Bottom