Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
- Thread starter
-
- #21
Sina uhakika kama yanalimwa bongo hayaKwetu tunayaitaga furahisha mk....d ....u
Ndiyo ni ya hovyo sana yana kaharufu kabaya kama kama sio mzoefu huwezi kulajina lako linaendana na matunda unayoyatafuta yaonyesha hayo matunda ni ya hovyo sana!
He he he πππKwetu tunayaitaga furahisha mk....d ....u
Kuna kijana alikuwa ananiletea ila baadae akawa ananiletea matunda mengine nikimuuliza ananijibu hakuna sasa hiviKwani kabla ya kuyakosa ulikuwa unayapata wapi?Kabla ya Kisutu ulikuwa mteja wa soko lipi?
Aunt na wewe kumbe ni mlaji wa haya matunda kumbeUKIYAPATA
TAFADHALI
na mie NATAKA
Ukikosa kariakoo nenda solo la kisutuKichwa cha habari hapo kimejitosheleza
Linaitwa Dragon fruit au Pitaya au PitahayaView attachment 3095527View attachment 3095525View attachment 3095527View attachment 3095528
Kuna kijana alikuwa ananiletea ofisini ila sasa hivi haniletei anadai hakuna
View attachment 3095525
Hapana ni Rangi tu hilo halifanani kabisa ukilikataTunda linafanana na gimbi kwa ndani.π€
Hapana ni matunda nyoka hayoHilo ni nanasi la kishua au ?
Masuku na Madonga yapo pale Kisutu ? πππKisutu
Hama huko maporini!Kisutu kisutu kusutu kisutu hata sipajui
Kwanini hamtaki kuzeeka wakuu...?Hapana ni matunda nyoka hayo
Moja ya faida zake kuu linapunguza kasi ya uzee
Msimu wake umeishaga huwezi yapata kokote kule. Out of seasonKichwa cha habari hapo kimejitosheleza
Linaitwa Dragon fruit au Pitaya au PitahayaView attachment 3095527View attachment 3095525View attachment 3095527View attachment 3095528
Kuna kijana alikuwa ananiletea ofisini ila sasa hivi haniletei anadai hakuna
View attachment 3095525
Ni karibu na Nyampalahala ukitokea njia ya Runzewe...πKisutu kisutu kusutu kisutu hata sipajui
Yapo mengi Tu kaka kule kwetu yanatumika kama wigo wa fensi Yana miiba hivi ni matamu kweli ndio maana Sisi huwa tunasema ukila ni matamu Sana mwili wote unafurahi ikiwemo na jicho la sehemu ya haja kubwaSina uhakika kama yanalimwa bongo haya
Ndiyo ni ya hovyo sana yana kaharufu kabaya kama kama sio mzoefu huwezi kula