Ni wapi naweza pata mkopo kwa riba nafuu?

Tariq f

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2021
Posts
233
Reaction score
347
Habari wakuu,

Mimi ni kijana mpambanaji, ndio naanza maisha ya utafutaji wa ridhki kiukweli sina asseti yeyote ya maana labda kitanda, godoro, feni na pasi ndo nilivyonavyo.

Naomba kuuliza kuwa ni microfinance ipi au taasisi ipi inaweza kunipatia mkopo wa riba nafuu kwa ajili ya kufanya biashara.

Maana nimekwama wakuu.
 
Mimi nakushauri tu pambana mwenyewe kaka, tafuta hata mtaji mdogo tu anza nao. Hizi microfinance mikopo unapata ila riba zao ni ndefu, hazitakusaidia kugrow, utakachokuwa unapata kama faida unawarudishia wao. Nakushauri waza kukopa ukiwa tyar na biashara ambayo unaiamini kopa kuiendeleza, usikope kuanza.
 
Nakazia
 
Sure...sure.....sure

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Kurani iliwaambia msikope kwa riba
 
Mkuu una ndoto ya kufungua biashara gani
 
MKOPO CHAPU CHAPU [emoji387][emoji387][emoji387][emoji387][emoji387][emoji387][emoji387][emoji387][emoji387][emoji387][emoji387][emoji387][emoji387][emoji387]
CHAMPIONS INVESTIMATE CO-ORPERATION TUNATOA HUDUMA ZA KIFEDHA KWA RIBA YA ASILIMIA 20,,

[emoji419]TUNATOA HUDUMA KWA WATU BINAFSI,,WAKULIMA WAAJIRIWA SEKTA BINAFSI NA SERIKALI

Je[emoji779]UNATAKA MKOPO NJOO UJIPATIE FEDHA TASLIMU KUANZIA LAKI MOJA MPAKA MILIONI 1

DHAMANA NAMBA YA NIDA, PASPOTI AU LESSENI YA BIASHARA
MAREJESHO NI KWA MWEZI KUANZIA MIEZI 2 MPAKA MIEZ 12

MAWASILIANO:0693723696

[emoji419][emoji419] NB KUONDOA WIMBI LA UTAPERI KABLA YA KUHUDUMIWA NA WATEJA WETU HAKIKISHA,, UNATUMIWA CHETI CHA USAJILI WA CHAMPIONS INVESTMATE CO-ORPERATION [emoji1666][emoji1666]
 
Mh mkuu ebu eleza zaidi. Kwamba namba ya nida tu napata mkopo vp ni mpaka kufika ofisini au hata kwa online je kuna pre-cost zozote kabla ya kupokea huo mkopo
 
Hehe
 
Me mwenyewe nashangaa, yaani kampuni isiwe hata na graphics zake za matangazo pamoja na ofisi zake maalum, acheni uhuni jamani dhuluma mbaya mtakuja kuuawa
 
Uza pasi na feni labda hata ungeelezea huo mkopo unahitaji ukafanyie nini watu wangekuelewa
 
Habari mkuu, huwa sina kawaida ya kubeza michango ya watu humu JF lakini mbona hili tangazo lako lina walakini?
Weka location ya ofisi ili watu wafike na kama kuna vigezo vinginevyo hujavitaja weka wazi.

Maana siku hizi ni rahisi kupigwa maana utaambiwa wekeza 50k upewe mkopo wa 500kπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
 
And here we go
 
SINA MDA WA KUJIBU ARISES ZA HAPA LAKINI MTU YEYOTE ASITOE HELA YA AINA YOYOTE KUPATA PESA HIZI NA NAOMBENI SANA MTU ASOME MKATAPA NA AKABIZIWE PESA NDIO AUSANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…